Kuweni makini na huyu mtu

Tatizo hamtumii akili. Mnawaona Watanzania maf*la. Muda huu watu wanataka kufahamu Jiwe yu hai au la nyie mnaleta porojo zenu. Mmewalisha watu matango pori kwa stori za kutengenezwa na TISS kuwa Jiwe yupo Nairobi mara yupo India, na sasa mnatafuta pa kutokea.

Mngekuwa na akili nzuri mngesubiri hili jambo kubwa lipite ndo mhangaike nami, maana jitihada zenu kwa sasa zinawaumbua tu - wenye akili wanajiuliza "ah mbona hawa wanamwandama huyu anayejibidiisha kutufahamisha kinachoendelea chini ya kapeti"? Tatizo mmejipa hatimiliki ya ukweli, mnapokosa cha kudanganya watu basi kila anayeeleza ukweli anakuwa mbaya wenu. Acheni kutumika.

Pia kwa taarifa tu, Kitengo kimefanya bidii endelevu dhidi yangu kwa miaka lukuki lakini hawajafanikiwa. Musiba nae kahangaika mno lakini ndo kwanza ananiongezea followers. Nina kitu ambacho ninyi hamna: INTELLIGENCE.
Ukielezea tu bila kujimwambafwai kuwa "ooh nina kitu ambacho ninyi hamna-INTELLIGENCE" inatosha.

Intelligence hupimwa na wataalam au AI kwa viwango na mtu hajisifu.
 
Unamzungumzia yule alikuwa Mhasibu wao enzi za JK, Mlugulu yule alikuwa ana pesa chafu za madili, alipigwa Risasi za kutosha na hadi leo waliomuua hawajulikani
Ile sio kazi ya kutamani, inafaa kuwa wito. Ukienda kwa kutamani wata ku eliminate tu.. mie mwenyewe ningekuwaga huko najua kifo au kufukuzwa kungenihusu 😀😀
 
Ukielezea tu bila kujimwambafwai kuwa "ooh nina kitu ambacho ninyi hamna-INTELLIGENCE" inatosha.

Intelligence hupimwa na wataalam au AI kwa viwango na mtu hajisifu.
Haujawahi pita mikonini mwa Chahali kwani ? Au unachoma madaraja baada ya kuvuka ?
 
muandiko wako mkuu ni exactly na wa jamaa mmoja kwenye mtandao maarufu duniani
 
Yupo mmoja huko nyuma alipewa onyo la kunadili mwenendo wake juu ya mambo matatu aliyokuwa akiyaratibu..
Na wala hakunjua onyo lile limetoka wapi akaanza kufatilia lilikotoka..akapewa la pili na la tatu..kisha maamuzi yakafanyika toka gaboroune room 103..aliishia kula risas 14...
Wanaojua beacon za nchi hii sio diwan wala magifuli
Juu ya diwan,wapo wanne na ambao yeye mwenyewe hawajui na hawaripoti kwake..na hawapo nchini....
Mmmh, si mchezo kn code ya mji hapo ,kiboko
 
Back
Top Bottom