Kuweni makini na hii namba 0683 544 982

Hivi na pesa ilivyokuwa ngumu hivi, kuna watu bado wanaibiwa kindezi hivi mjini hapa???
 
Ni vema ukatoa elimu ya vipi kujikinga dhidi ya wezi hawa wa mtandao. Kubwa zaidi tusipende pesa za bure (droo, bonus, zawadi, good faith)

Mara nyingi watu wakiskia kuna pesa inakuja wanachanganyikiwa na kuanza kufuata kila wanaloambiwa. Pili soma kwa makini maelezo yote unayoyaona kwenye menu yoyote unayoenda. Usibonyeze tu.
 
Back
Top Bottom