Kuweni makini na HALOTEL

Kuweni makini na HALOTEL

mjingamimi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2015
Posts
45,751
Reaction score
55,787
Habarini?
Hawa jamaa wa halotel wanachofanya si kizuri.
Leo mchana nilijiunga kifurushi cha mitandao yote cha 499 na cha MB 110 jumla ni sh 1000.
Sasa kwa bahati mbaya nilijiunga kifurushi cha halo tel kwenda halotel nilipo mpigia mtu wa tigo salio lilikata.
Nikapanic na kuangalia salio cha ajabu nikakuta kuna dakika 20 za halo tel kwenda halotel.
Lakini MB ZIPO 105.NI KASHANGAA.
imekuwaje MB ziwe 105 wakati nilijiunga kifurushi cha MB 110 na isitoshe nilijiunga kifurushi cha mitandao yote ( kwa bahati mbaya)na wakanipa MB 5.jumla zikawa MB 115.hizo MB 10 zimekwenda wapiii?wakati sikutumia internet ?nikagundua kwamba hawa jamaa wanatupiga juu kwa juu.unaweza ukajiunga kifurushi labda cha MB 300.wakakufanyia ujanja wakakupa 250.na vile watu tukisha jiunga bando tuna kimbilia moja kwq moja kuwasha data.ndo imetoka hyo.IMEKULA KWETU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi najiungaga hichi kifurushi 10GB, ila hazijawai kumaliza mwezi mi nashangaa..ni wiki mbili na nusu tuu wananiletea msg nimebakiwa na 0mb.
Sijui wananiibia.
Inabidi uangalie vizuri maaana mimi ni kila mwezi najiunga na huwa nabakiza mb 1000 kufika tarehe niliyojiunga na data sizimi u tube kama ibada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
vodacom kifurushi kisicho na kikomo dakika zinapukutika kama majani ya mti wakati wa kiangazi. hapa kasi tu
 
Habarini?
Hawa jamaa wa halotel wanachofanya si kizuri.
Leo mchana nilijiunga kifurushi cha mitandao yote cha 499 na cha MB 110 jumla ni sh 1000.
Sasa kwa bahati mbaya nilijiunga kifurushi cha halo tel kwenda halotel nilipo mpigia mtu wa tigo salio lilikata.
Nikapanic na kuangalia salio cha ajabu nikakuta kuna dakika 20 za halo tel kwenda halotel.
Lakini MB ZIPO 105.NI KASHANGAA.
imekuwaje MB ziwe 105 wakati nilijiunga kifurushi cha MB 110 na isitoshe nilijiunga kifurushi cha mitandao yote ( kwa bahati mbaya)na wakanipa MB 5.jumla zikawa MB 115.hizo MB 10 zimekwenda wapiii?wakati sikutumia internet ?nikagundua kwamba hawa jamaa wanatupiga juu kwa juu.unaweza ukajiunga kifurushi labda cha MB 300.wakakufanyia ujanja wakakupa 250.na vile watu tukisha jiunga bando tuna kimbilia moja kwq moja kuwasha data.ndo imetoka hyo.IMEKULA KWETU.

Sent using Jamii Forums mobile app
upo sahihi,yan mm najiunga mB 500, kwa sh 500,lakn znavoisha mungu ndio anajua
 
Back
Top Bottom