Kuweni makini jamani, wamejaa barabarani

Ukira ban usnilaumu, kuwa sjakuadharisha, wana zile machine za kuchunguza midomo na mikono inachondandika umu ndani.
 
Hahahaaa kwani kuna mtu anaweza kuendesha au kuzunguka humu bila leseni na asikamatwe? Halafu wenye uzoefu wa kukamatwa watuambie huwa wanapokea zile buku 5 au ukitoa ndo ban inaongezeka?
Kasie
 
Hahahaaa kwani kuna mtu anaweza kuendesha au kuzunguka humu bila leseni na asikamatwe? Halafu wenye uzoefu wa kukamatwa watuambie huwa wanapokea zile buku 5 au ukitoa ndo ban inaongezeka?
Kasie

Kumbe huwa wanapokea Rushwa Mkuu? Hebu tupe basi huo mchanganuo wa malipo hayo ya Rushwa kwao ili na sisi wengine tuanze sasa kujipanga.
 
Back
Top Bottom