Kuweni macho na mdada huyu

Wacha awatafunie vi senti vyenu, mkiombwa pesa ya kula unatoa machooo Kama mjusi kabanwa na mlango, kwa kumpa mdada aaaaaa wala hufikiri Mara 2 tena unatoa huku unauliza vp imeingiaa? Manake sijapata SMS huku.. Walie binti vipesa vyao.......
 
Kwa hiyo umeshaliwa? huyo alikuwa mtu wako sasa mmekosana umeanza kumchafua au unampa promo huyo changu!
 

She's gorgeous!
 

Twende PM ukanitumie picha yako.
 
Mpaka hili tangazo linatoka, hapo wanaume wameshatumaaaaaa nauli weeee....kama hawana akili nzuri. Na yawakute...
 
Pole mkuu nawe bila shaka ni victim wa jambo hilo.
Siku nyingine jifunze kuwa kamba ya mbali haifungi kuni na fimbo ya mbali vile vile haiuwi nyoka.
 
Namba yangu ya zamani hiyo, na niliiachaga kwa kuwa nilikuwa napokea simu za kudai nirudishe vya watu.
 
hahaha mfano kama ww jaman na iyo ID plus Avater mie hoiii naogopa mpaka kureply ucje nitokea kwenye screen ya simu
 
Kumbe anaomba atumiwe nauli,nanyi mnatuma kwa hiyari yenu! Sioni tatizo hapo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…