mabereng'ombe
Member
- Nov 22, 2013
- 70
- 18
Hii namba ya nchi gani?Kwenye mitandao ya kuchat kama Badoo, Hi5 au Twoo kuna mdada mmoja anajiita Sabrina. Yeye anadai ni mwenyeji wa Kondoa. Huwa anatoa namba yake ya simu kwa kila anayechat naye. Lakini anaomba atumiwe nauli ili waweze kuonana. Uchunguzi unaonesha kuwa dada huyu sio tu anajiuza lakini pia anatumia chating kujipatia pesa. Ni mzuri, anavutia kweli. Hutumia namba ya simu. 0654097850. Kuweni makini!
Hii namba ya nchi gani?
Kwenye mitandao ya kuchat kama Badoo, Hi5 au Twoo kuna mdada mmoja anajiita Sabrina. Yeye anadai ni mwenyeji wa Kondoa. Huwa anatoa namba yake ya simu kwa kila anayechat naye. Lakini anaomba atumiwe nauli ili waweze kuonana. Uchunguzi unaonesha kuwa dada huyu sio tu anajiuza lakini pia anatumia chating kujipatia pesa. Ni mzuri, anavutia kweli. Hutumia namba ya simu. 0654097850. Kuweni makini!
nina wasiwasi alikua wako mmekosana unaanza kumchafua, au unampa promo! Ili apate uhakika wa wateja baadhi yetu kupitia hizo namba.
Utakuta ni tapeli moja la kiume, linabandika picha inayowazuzua wapenda uzinzi.