Kuwekwa wakfu kwa tovuti.

Kuwekwa wakfu kwa tovuti.

KATATANAMA

Member
Joined
Feb 15, 2012
Posts
63
Reaction score
6
Jana tar 22-07-2012 kanisa la Full Gospel Bible Fellowship linaloongozwa na Askofu Zachary Kakobe limefungua rasmi tovuti zake kama njia mpya ya kueneza neno la Mungu. Sasa unaweza kupata taarifa za kina kupitia: www.fgbfchurch.org
Pia kwa kupitia youtube unaweza kutazama vipindi tofauti tofauti. Na wasilisha.
 
Kakobe amekutuma nini? Mbona kwenye thread hakuendani na Ulichoandika ndani!!.
 
Back
Top Bottom