kuweka wave/kunyoa kiduku sehemu za siri?

sasa mtoto wa kiume unataka kuremba vuzi tena...kweli tunapoteza majirali

af mnashangaa kwanini wanawake wanakuwa wasagaji,sas kwanini mtu ujiweke wave kule mahala?ah mi hata sielewi
 
ukiona hivyo ujua ama kuna mtu huwa anamringishia au anazilainisha ili zichezewechezewe...
si ndio hapo sasa!kina The Boss na Dark City plus pacha wangu Snowball,wanafunzi wangu Asprin na Kaizer wana kazi sana kuwaeleza hawa vijana mwanaume wa kweli anatakiwa kuonekanaje hata hayo maeneo,mi sipati picha binti anavua boxer ya mpenzi wake anakutana na relaxer?
 
Back
Top Bottom