First I thank you for raising your concerns
Mkuu
Njunwa Wamavoko
Kuna pahali pananichanganya kwenye masuala ya ussd, sms dpu, baadhi ya modems zinataka u- Encode "*148*00#" to PDU format, which is "AA180DA782C146" tofauti na
How to retrieve response result in sending USSD commands in c#? ame send straight text. yaani
"AT+CUSD=1,\"*148*00# ( njia hii napata error )
Baandi ya modems na ambayo ninayo kwa sasa ( ile ya Tigo ya lte ) zinaleta majibu ya USSD kwa njia ya PDU encoding. ( hapa ndipo panaponipasua kichwa )
natuma command hii AT+CUSD=1,"AA180DA782C146",15 napata OK . ila output yake inanichanganya kidogo, inakuwa katika mfumo wa DPU badala ya kuwa hivi.
1.OFA MAALUM
2.MiniKabang
3.Tigo-Tigo Xtreme
4.Vifurushi vya Kimataifa
5.Internet vifurushi
6.Music
7.Huduma Nyingine
8.Huduma kwa wateja
output yangu inakuwa hivi,
D4E4F1099A229F5045CCF5340641CD6090596D2A64AE66DA9D5E86C561F759317351D3E7778B9A3EBF4158BABCDC2E83143497356DAECBEB73741A64CF8741CB743B4C0FA7CD6145CD9574D3CB7277990EB2A7CD75797D8E4E83143657B33E4F8F153717B24EAEB7C320673EED3EA7DD6505CE85AC93EBED30687D0F83EE617A591D06",15
Najua nitahitaji ku encode to readable text ila PDU yangu naona inamatatizo ndio maana nachanganyikiwa
Ila
Thank you for your kind cooperation