Kuweka playlist ktk blogspot! Nisaidieni

Kuweka playlist ktk blogspot! Nisaidieni

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,822
Reaction score
5,415
Wakuu habari zenu!! Naomba kuwasilisha tatizo langu kwenu ili nipate msaada.Nimetengeneza blog inaitwa www.nasmiletz.Blogspot.Com sasa shida yangu ni jinsi ya kuapload audio,na kufanya playlist ambayo m2 atakuwa anaweza kusikiliza music.Kuna blog kama hii ya dj choka ina hiyo ki2....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom