Kuweka minara ya technology

Kuweka minara ya technology

survivor03

Senior Member
Joined
Jan 10, 2012
Posts
131
Reaction score
21
Habari wakuu mimi nina eneo kubwa ktk nyumba yangu la kuweza kuwekwa hata mnara wa kama simu n.k nasikia wanalipa fresh naomba wakuu idea yenu kuhusu hii issue, je inakuwaje system zao na kama wapo wenye kutaka kuweka naomba tuwasiliane nyumbayangu ipo maeneo ya kigamboni karibu na mikadi beach ahsante
0715-388666
 
.....ANGALIA SHERIA ZA MAZINGIRA ZINASEMAJE KUHUSU MINARA YA SIMU KATIKA MAKAZI YA BINADAMU; JE NI SALAMA BINADAMU KUISHI CHINI YA MNARA WA SIMU? angalizo tuu!
 
Back
Top Bottom