Rjohn JF-Expert Member Joined Feb 28, 2012 Posts 613 Reaction score 130 Sep 4, 2013 #1 wadau habari zenu naomba mnielekeze jinsi yakuattach email katika maelezo/link kama kumpa mtu aingie moja kwa moja natumia simu lakini ahsanten
wadau habari zenu naomba mnielekeze jinsi yakuattach email katika maelezo/link kama kumpa mtu aingie moja kwa moja natumia simu lakini ahsanten
Iselamagazi JF-Expert Member Joined Sep 26, 2011 Posts 6,083 Reaction score 6,240 Sep 4, 2013 #2 Ebu jaribu kutembelea uzi huu hapa chini utajua jinsi ya kuweka link: gonga hapa >>> > [thread=4431583]Haya hapa yale maujanja ya JF[/thread] au hapa >>>> Donn said: Haya hapa yale maujamja ya JF Click to expand...
Ebu jaribu kutembelea uzi huu hapa chini utajua jinsi ya kuweka link: gonga hapa >>> > [thread=4431583]Haya hapa yale maujanja ya JF[/thread] au hapa >>>> Donn said: Haya hapa yale maujamja ya JF Click to expand...
Rjohn JF-Expert Member Joined Feb 28, 2012 Posts 613 Reaction score 130 Sep 4, 2013 Thread starter #3 ngoja niingie mkuu
Rjohn JF-Expert Member Joined Feb 28, 2012 Posts 613 Reaction score 130 Sep 4, 2013 Thread starter #4 inanambia no topic specified na maelezo mengne pia
Iselamagazi JF-Expert Member Joined Sep 26, 2011 Posts 6,083 Reaction score 6,240 Sep 4, 2013 #5 Rjohn said: ngoja niingie mkuu Click to expand... Nakutakia safari njema!
Iselamagazi JF-Expert Member Joined Sep 26, 2011 Posts 6,083 Reaction score 6,240 Sep 4, 2013 #6 Rjohn said: inanambia no topic specified na maelezo mengne pia Click to expand... [post=4431583]click me![/post]
Rjohn said: inanambia no topic specified na maelezo mengne pia Click to expand... [post=4431583]click me![/post]
Rjohn JF-Expert Member Joined Feb 28, 2012 Posts 613 Reaction score 130 Sep 4, 2013 Thread starter #7 inagoma kaka napia sio lazma iwe jf kokote hata fb au blog nielekeze bro
Iselamagazi JF-Expert Member Joined Sep 26, 2011 Posts 6,083 Reaction score 6,240 Sep 4, 2013 #8 Rjohn said: inanambia no topic specified na maelezo mengne pia Click to expand... Ukishindwa hapa, basi ukalale!!!! [post=4431583]CLICK ME!!![/post]
Rjohn said: inanambia no topic specified na maelezo mengne pia Click to expand... Ukishindwa hapa, basi ukalale!!!! [post=4431583]CLICK ME!!![/post]
Rjohn JF-Expert Member Joined Feb 28, 2012 Posts 613 Reaction score 130 Sep 4, 2013 Thread starter #9 ebana nimeichek kwa humu nimeelewa bt inakuwaje nikitaka kuweka link out of jf
nxon JF-Expert Member Joined Jul 16, 2011 Posts 1,162 Reaction score 408 Sep 4, 2013 #10 <a href="http://www.microsoft.com/"> hapa</a>