Kuweka/Kubadlisha OS kwenye android devices

Kuweka/Kubadlisha OS kwenye android devices

Di Ty

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2014
Posts
583
Reaction score
595
Habari zenu wakuu?

Samahani wakuu, naomba mwenye kufahamu jinsi ya kubadilisha au kuweka OS kwenye hizi android devices kama smartphones au tablets naomba unifundishe zile basic stages/Steps katika kufanikisha hilo suala.

Kama ni kwa video au kwa links au kwa maelezo yako binafsi it's okay.

Lengo ni mimi kutaka kuongeza kitu kipya kichwani kwa upande wangu.

Thanks in Advance.[emoji120]
 
huwezi kubadili os kwa simu yoyote ile, mpaka mtengeneza simu awe ameitengeneza simu kwa ajili hio. zipo simu Maarufu ambazo zina uwezo huo kama Nokia N9, HTC HD2, Google nexus series, Sony xperia X etc.

hizi simu zinakuwa na unlocked bootloader na support ya manufacture kufanya hivyo.
 
Okay... Shukrani sana mkuu.
 
Back
Top Bottom