Kuweka au kuondoa shillingi- bungeni

dotto

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
1,725
255
Bunge limekuwa likiburuzwa na wingi wa wabunge wa CCM kwa mambo yasioyo na tija.Wana JF ule utaratibu wa kuondoa shilingi bungeni uliokuwa ukitumika miaka ya zamani hauwezi tumika na wapinzani? Tatizo ni nini? au hiyo sheria ilishafutwa? Nieleweshe tafadhali!
 
kuna kupiga kura siku hizi (Wengi wape!!!)....
unadhani wao wajinga? hawawezi kuacha mkuki nje ya nyumba yao... waliuondosha...!!!
 
Back
Top Bottom