Aaghh hizo ni Imani tu, Mimi nimefanikiwa kufikia malengo Yangu mwaka huu kuwa na nguo chache kadiri niwezavyo. Kwa Sasa NinaSimaanishi kilichokuja kichwani mwako. Kuvua nguo kwa hapa namaanisha kutoa msaada wa mavazi ambayo wewe ulikuwa unavaa. Katika Imani za kiroho/kishirikina mavazi inaaminika Yana nafasi yake katika kuomba mabaya au mazuri kwa mtu mvaaji. Ukimpatia mhitaji halafu wenye Nia ovu waingilie kati na kuyatia mikononi mwao hayo mavazi hauko salama.
Wataupiga mawe wachukue matunda wanaondoka wanauacha mtiSawa, lakini mti wenye matunda ndio hupigwa mawe
SipendiWe haupendi?