Kuwashwa kwa chuchu mwanamke

Nimeulizwa swali hili,kuwashwa kwa chuchu na mwili kusisimka kwa mwanamke ni mimba au hamu tu?

Kwanini umekimbilia kusema hamu tu? na Usiseme labda nguo alizo vaa au Uchafu ndio ndio umepelekea kuwashwa?

Acheni kuwaza ngono tu kwa kila jambo.

Huo ni Uchafu tu wa kutokuoga au kubadili nguo au kuvaa sidiria za mitumba.
 
Kuwashwa inategemea mambo mengi.

Mosi,kama anakaribia siku zake basi hamu ya kupigwa mlungushi huwa kubwa na chuchu kuwasha,pia kama ametoka kufanya mapenzi na kanyonywa chuchu na mwanaume ambaye hajaswaki pia huwasha na mwisho kama amevaa bra ambayo aliaanika na hakuoasi basi vijidudu humuwasha :
 
Dalili za ujauzito... Ana mimba... Matiti hutanuka,kujaa na kuongezeka sambamba na chuchu ili kuzalisha maziwa ya kunyonyesha...


Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom