Kuwashwa kichwani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuwashwa kichwani

Discussion in 'JF Doctor' started by kinyongarangi, May 24, 2011.

 1. k

  kinyongarangi Member

  #1
  May 24, 2011
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana JF
  mimi nasumbuliwa na kuwashwa kichwani kila mara najisikia kujikuna. pamoja na hilo nina tatizo la pressure na ulcers ambayo naamini hayahusiani na hili. tatizo langu ni nini na matibabu yake ni yapi. naomba msaada wenu wana JF hasa wataalamu wa tiba
   
 2. KWI KWI

  KWI KWI JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 286
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wewe ni mke/mme?
  Unawashwa wakati gani?Mchana/Usiku?
  Unatumia maji gani?Kisima?
  Sabuni ipi?Shampoo je ipi?
  Kuna dawa yeyote unameza now and then?
  Nijibu/Tazama hayo kwanza............please.
   
 3. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #3
  May 24, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 1,813
  Trophy Points: 280
  kuongezea Je unasuka nywele..?!
   
 4. k

  kinyongarangi Member

  #4
  May 25, 2011
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi ni mwanamme
  Nawashwa mchana zaidi
  Maji ya kisima
  natumia emperial soap
  natumia dawa za pressure(tenoric) lakini tatizo lilianza kable ya kuanza kuzitumia kama miaka minne iliyopita
  Sisuki nywele
  aina ya muwasho inakuwa kama utamu fulani hivi
   
 5. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #5
  May 25, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 1,813
  Trophy Points: 280
  nikikupa medical advice nitakudanganya sifahamu, nenda kamuone dermatologist ..
   
 6. Futota

  Futota JF-Expert Member

  #6
  May 26, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 524
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  inaweza kuwa una fungal infection (ugonjwa wa mbaa)
  je ukijikuna ngozi inatoa unga unga?
  sasa basi kwa kuanzia kabla ya kwenda kumuona daktari (tatizo likizidi lol)
  nenda supermarket hizi zetu za kisasa (kama zile za pale mlimani city dar) au kwenye duka la dawa
  nunua shampoo (dawa ya kuosha nywele) inayoitwa HEAD AND SHOULDERS,
  tumia hii kila siku kuosha kichwa.
  na vizuri kama una nywele nyingi kichwani basi ukanyoa kidogo
   
 7. nyengo

  nyengo JF-Expert Member

  #7
  May 26, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 433
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mimi hua nanyoa nywele zangu kila baada ya wiki 2. inasemekana nia dry skin. Nikinyoa upara hata sijisikii kuwashwa
   
 8. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #8
  May 27, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  kumbe jibu unalo, nyoa upara tu.
   
Loading...