residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 7,020
- 9,609
Je,wamefanikiwa kukiua hicho chama?Kama hujui nikujuze! Lowasa na kundi lake lote walikuja kuua chama! Kasome kitabu cha zBiblia YUDA 1.
Hao walikuwa na kazi maarum, nakazi yao inaonekana sasa! Ndo maana chama kinapukutika.
Walishasoma kila kitu.
Ccm hakina wanachama milioni 8,hizo takwimu ukitaka kuzithibitisha washauri chama chako waruuhusu tume huru ya uchaguzi
Wewe jamaa ni taahira kumbe? Sikujua una akili mbovu namna hiiKwa hiyo ni haki wao wapewe nafasi bila kushidanishwa na sisi wazawa? CHADEMA tumegundua janja yenu ya kushinda viti kwa mlango wa nyuma. KILA ANAYEKUJA ANATAKA AWE MGOMBEA.
Kasirika sasa wewe nenda Chadema!
Fanyeni kazi kwa bidii ili kukijenga upya chama, na matunda yake mtayaona hapo mbeleni. Jifunzeni mfano wa mwana mpitevu aliyedai kwa nguvu urithi wake, na kuamua kwenda ughaibuni na kufuja utajiri wote aliopewa na baba yake. Arudipo nyumbani hukaribishwa kwa ukarimu na kusamehewa, huvishwa vazi zuri na kufanyiwa sherehe ya pongezi. Kwa hiyo ni muda wa kuwakirimu waliopotea ili warudi nyumbani kukijenga chama pamoja na makada wafia chama.Uchaguzi umekaribia, wale waliotuacha CCM wao wakamfuata mamvi, wakapata udiwani na ubunge, leo hii wameona uchaguzi umefika wanakuja kwa sharti kuwa wapewe nafasi ya kugombea. Je, sisi tulikipigani chama mmeamua kutuweka kando. Au ni mkakati wa CHADEMA kuja kivingine kuchukua kwa sura ya kuunga juhudi za Rais wetu? swali: KUWAPA NAFASI WAGOMBEA KUTOKA CHADEMA KUGOMBEA UBUNGE NA UDIWANI CCM, WAKATI SISI TULIMPIGANIA JPM WAO WAKIiZUNGUSHA MIKONO NA LOWASA IMEKAAJE?
MAENDELEO HAYANA VYAMA!
SOMA BIBLIAUchaguzi umekaribia, wale waliotuacha CCM wao wakamfuata mamvi, wakapata udiwani na ubunge, leo hii wameona uchaguzi umefika wanakuja kwa sharti kuwa wapewe nafasi ya kugombea. Je, sisi tulikipigani chama mmeamua kutuweka kando. Au ni mkakati wa CHADEMA kuja kivingine kuchukua kwa sura ya kuunga juhudi za Rais wetu? swali: KUWAPA NAFASI WAGOMBEA KUTOKA CHADEMA KUGOMBEA UBUNGE NA UDIWANI CCM, WAKATI SISI TULIMPIGANIA JPM WAO WAKIiZUNGUSHA MIKONO NA LOWASA IMEKAAJE?
MAENDELEO HAYANA VYAMA!
Kama hiviKazi kwenye chama ni nyingi wewe unaweza hata kua kwenye kundi la watu mtaoshangilia tu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kama hizi hapaKazi kwenye chama ni nyingi wewe unaweza hata kua kwenye kundi la watu mtaoshangilia tu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wakati wanahama chama mlikuwa mnawaita wazalendo wanapotaka nafasi zenu ndo mnakasirikaKwa hiyo ni haki wao wapewe nafasi bila kushidanishwa na sisi wazawa? CHADEMA tumegundua janja yenu ya kushinda viti kwa mlango wa nyuma. KILA ANAYEKUJA ANATAKA AWE MGOMBEA.
kwani ulikuwepo?Kwani uchaguzi wa SERIKALI ZA MITAAA walijitokeza wangapi kama sio zaidi ya milioni 8?