Kuwapa hela Rehani Bichuka, Zahir Zoro pamoja na kuasili Mtoto aliyeokotwa Jalalani hakutamsafisha Samia Suluhu na unyama wa octoba 29

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
137,303
Reaction score
271,559
Hili ni bora likafahamika mapema tu kwa watu wote, Hatuwezi kusahau Mauaji ya maelfu ya Watanganyika kwa gharama ya hela za madafu walizopewa akina Bitchuka, uhai wa binadamu haujawahi kununuliwa kwa fedha yoyote n.a. hasa fedha duni kama ya kibongo

Kwahiyo Maigizo ya kiwango cha chini kama haya yanayofanyika yakisimamiwa na viongozi Duni kama Mwana FA hayatatusahaulisha uchafu ule uliopangwa.

Sina Lengo la kuzuia riziki za wazee hao ambao ni wanamuziki wakongwe, Bali napinga MARADHI YAO KUTUMIKA KAMA DEKIO LA KUSAFISHA WALIOKATALIWA DUNIANI N.A. MBINGUNI

Tuache kabisa kutumia njia za mkato kujisafisha dhidi ya Mauaji ya Makusudi, Hakuna Mwananchi yoyote atakayepumbazwa n.a. mbinu hiyo ya kichovu

Naomba kuwasilisha.
 
Wametaliwa na nani huko duniani na mbinguni,na nyie waxhenzi wachoma miundombinu,mali na waporaji?
Najua ni kazi yako,ila umechagua kazi ngumu sana
Tafuta kazi za maana
 
Mtavuna mnachopanda, Wajinga nyie!
Nyinyi mmeshavuna mlichopanda,wenzenu madhabahuni wamebaki kupiga kelele tu, mipango imebuma,shaba mmechezea,chama chali na maisha yanazonga
Mtapiga kelele mpaka mpate hedhi
 
Hili ni bora likafahamika mapema tu kwa watu wote, Hatuwezi kusahau Mauaji ya maelfu ya Watanganyika kwa gharama ya hela za madafu walizopewa akina Bitchuka, uhai wa binadamu haujawahi kununuliwa kwa fedha yoyote n.a. hasa fedha duni kama ya kibongo

Kwahiyo Maigizo ya kiwango cha chini kama haya yanayofanyika yakisimamiwa na viongozi Duni kama Mwana FA hayatatusahaulisha uchafu ule uliopangwa.

Sina Lengo la kuzuia riziki za wazee hao ambao ni wanamuziki wakongwe, Bali napinga MARADHI YAO KUTUMIKA KAMA DEKIO LA KUSAFISHA WALIOKATALIWA DUNIANI N.A. MBINGUNI

Tuache kabisa kutumia njia za mkato kujisafisha dhidi ya Mauaji ya Makusudi, Hakuna Mwananchi yoyote atakayepumbazwa n.a. mbinu hiyo ya kichovu

Naomba kuwasilisha.
Upo sahihi. Mshauri wake anaona kafanya bonge la idea kumbe wanaharibu zaidi.
 
Hili ni bora likafahamika mapema tu kwa watu wote, Hatuwezi kusahau Mauaji ya maelfu ya Watanganyika
Hakuna yeyote au popote watu wametakiwa kusahau kilichotokea, watu wanatakiwa kuvuta subra kusubiria matokeo ya Tume ya Uchunguzi
uhai wa binadamu haujawahi kununuliwa kwa fedha yoyote
Hakuna yeyote wala popote, mtu yeyote ametaka kununua uhai wa binadamu yoyote.
Kwahiyo Maigizo ya kiwango cha chini kama haya yanayofanyika yakisimamiwa na viongozi Duni kama Mwana FA hayatatusahaulisha
Hakuna maigizo yoyote wala mwana FA sio kiongozi duni!.
Sina Lengo la kuzuia riziki za wazee hao ambao ni wanamuziki wakongwe, MARADHI YAO KUTUMIKA KAMA DEKIO LA KUSAFISHA WALIOKATALIWA DUNIANI N.A. MBINGUNI
Hakuna yeyote wala popote, maradhi yametumika kama dekio la kusafisha uchafu wowote!.

Sasa naomba kukupiga darasa la kitu kinachoitwa karma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemuasili mtoto mchanga wa kike leo tarehe 11 Machi, 2026, katika makazi yake, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma.

Mtoto huyo aliyepewa jina la Grace Samia Suluhu Hassan alitelekezwa mjini Nzega, mkoani Tabora, na amekabidhiwa kwa Rais Dkt. Samia na Mkuu wa Wilaya ya Nzega, Mhe. Naitapwaki Tukai.

Akizungumza wakati wa kumkabidhi mtoto huyo, Mkuu wa Wilaya Tukai alisema mtoto huyo aliokotwa tarehe 17 Januari, 2026 akiwa ametelekezwa katika eneo jirani na nyumba ya wageni ya Kasulu, Nzega Mjini.

Alieleza kuwa baada ya kupokea taarifa hizo, alishirikiana na Jeshi la Polisi kumchukua mtoto huyo na kumpeleka hospitalini kwa uchunguzi na uangalizi, huku juhudi za kumtafuta mama yake zikiendelea bila mafanikio.

Rais Samia amemkaribisha mtoto huyo katika familia yake na kuahidi kumpatia malezi, ulinzi na huduma zote muhimu ili akue katika mazingira salama na yenye upendo.

“Wanaotupa watoto hawajui wanalolifanya. Kuliko kumtupa mtoto ni afadhali ukamkabidhi katika mamlaka za kisheria au kituo cha kulelea watoto. Kila mtoto aliyezaliwa ni hazina, na hatuijui kesho yake,” alisema Rais Dkt. Samia.
Huyu sasa ndie yule Samia, tuliyemzungumzia hapa, Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!” ambaye ni tofauti na yule aliyesema ile nguvu iliyotumika ilikuwa nguvu stahiki!.

Kitendo hiki alichokifanya, Rais Samia, cha kumuasili huyu mtoto, malaika wa Mungu, kitamrudishia thawabu saba mara sabini, na kuipunguza adhabu yake ya karma ya October 29 kwa kiasi kikubwa!. The Power of Karma- Ndio hukumu pekee ya haki kamili hapa Duniani. Unahukumiwa kwa matendo yako!, humo nilisema,
Kila Mtenda Mema, Hulipwa na Karma, Mema Mara Dufu!.
Hapa ndipo inapokuja hoja ya kila mtenda wema, atalipwa mema na kila mtenda ubaya au maovu atalipwa ubaya au uovu na malipo haya hufanyika hapa hapa duniani, ila malipo huwa ni mara dufu ya wema ulioutenda, au uovu ulioutenda, hii ndio hiyo karma yenyewe, what goes around comes around!.

Uzuri wa Karma ni Reversible, Ukifanya Ubaya, Unaweza Kuupindua Ubaya Huo Kwa Wema, Ukaepuka Adhabu ya Karma!.
ila pia kwa kujitambua, ukifanya jambo baya, ukaomba msamaha kabla karma haijaanza kukushughulikia, then una weza ku reverse bad karma isikutokee, au hata kuizuia kabisa kwa kufanya mema mengi zaidi kuliko uovu!. Hii inaitwa kuireversi karma, hivyo mtu muuaji, akibaini kosa lake na kujutia, kisha akatembea na fuko la fedha kuwagawia yatima na masikini, adhabu ya karma ya uovu wake inapinduliwa na mema yake, anabarikiwa!.

Paskali
Hili Rais Samia alilofanya ni jema,
Mungu ambariki sana Rais Samia.

P
 
Hili ni bora likafahamika mapema tu kwa watu wote, Hatuwezi kusahau Mauaji ya maelfu ya Watanganyika kwa gharama ya hela za madafu walizopewa akina Bitchuka, uhai wa binadamu haujawahi kununuliwa kwa fedha yoyote n.a. hasa fedha duni kama ya kibongo

Kwahiyo Maigizo ya kiwango cha chini kama haya yanayofanyika yakisimamiwa na viongozi Duni kama Mwana FA hayatatusahaulisha uchafu ule uliopangwa.

Sina Lengo la kuzuia riziki za wazee hao ambao ni wanamuziki wakongwe, Bali napinga MARADHI YAO KUTUMIKA KAMA DEKIO LA KUSAFISHA WALIOKATALIWA DUNIANI N.A. MBINGUNI

Tuache kabisa kutumia njia za mkato kujisafisha dhidi ya Mauaji ya Makusudi, Hakuna Mwananchi yoyote atakayepumbazwa n.a. mbinu hiyo ya kichovu

Naomba kuwasilisha.
Oktoba masaka haikubaliki
 
Hakuna yeyote au popote watu wametakiwa kusahau kilichotokea, watu wanatakiwa kuvuta subra kusubiria matokeo ya Tume ya Uchunguzi

Hakuna yeyote wala popote, mtu yeyote ametaka kununua uhai wa binadamu yoyote.

Hakuna maigizo yoyote wala mwana FA sio kiongozi duni!.

Hakuna yeyote wala popote, maradhi yametumika kama dekio la kusafisha uchafu wowote!.

Sasa naomba kukupiga darasa la kitu kinachoitwa karma.

Huyu sasa ndie yule Samia, tuliyemzungumzia hapa, Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!” ambaye ni tofauti na yule aliyesema ile nguvu iliyotumika ilikuwa nguvu stahiki!.

Kitendo hiki alichokifanya, Rais Samia, cha kumuasili huyu mtoto, malaika wa Mungu, kitamrudishia thawabu saba mara sabini, na kuipunguza adhabu yake ya karma ya October 29 kwa kiasi kikubwa!. The Power of Karma- Ndio hukumu pekee ya haki kamili hapa Duniani. Unahukumiwa kwa matendo yako!, humo nilisema,

Hili Rais Samia alilofanya ni jema,
Mungu ambariki sana Rais Samia.

P
Tume ya Chande iliyojaa ndugu n.a. Marafiki wa watuhumiwa akiwemo Shemeji yake Kikwete Said Mwema?
 
Hili ni bora likafahamika mapema tu kwa watu wote, Hatuwezi kusahau Mauaji ya maelfu ya Watanganyika kwa gharama ya hela za madafu walizopewa akina Bitchuka, uhai wa binadamu haujawahi kununuliwa kwa fedha yoyote n.a. hasa fedha duni kama ya kibongo

Kwahiyo Maigizo ya kiwango cha chini kama haya yanayofanyika yakisimamiwa na viongozi Duni kama Mwana FA hayatatusahaulisha uchafu ule uliopangwa.

Sina Lengo la kuzuia riziki za wazee hao ambao ni wanamuziki wakongwe, Bali napinga MARADHI YAO KUTUMIKA KAMA DEKIO LA KUSAFISHA WALIOKATALIWA DUNIANI N.A. MBINGUNI

Tuache kabisa kutumia njia za mkato kujisafisha dhidi ya Mauaji ya Makusudi, Hakuna Mwananchi yoyote atakayepumbazwa n.a. mbinu hiyo ya kichovu

Naomba kuwasilisha.
Anajitekenya
 
Back
Top Bottom