UZZIMMA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2014
- 410
- 477
NACTE wametangaza udahili ni tarehe 23 Januari. Na wengi wetu tunasubiri matokeo ya CSEE 2016 ili tujidahili. Na matokeo yakichelewa huenda vyuo vikajaa.
Basi kwa yeyote anayejua tetesi za matokeo kama yatawahi au kuchelewa kutoka tujuzana. Maana mapigo ya moyo yanakimbia kwa kasi ya 4G.
Basi kwa yeyote anayejua tetesi za matokeo kama yatawahi au kuchelewa kutoka tujuzana. Maana mapigo ya moyo yanakimbia kwa kasi ya 4G.