nadhani wewe hunifahamu vizuri, muulize Erickb52 na yule jamaa aliyekuwa anamuandama mke wangu wa ndoa charminglady , sasa wewe ndio utakuwa fundisho kwa wengine wenye tabia kama yako
mkuu Bishanga shukraniu kwa kunishtua maana huyu jamaa hajui kanda maalum kwa nini iliitwa hivyo
yani mkuu itabidi nimpunguzie mamboGangamalah ! Pole kwa kuguswaguswa mara kwa mara! Mzibiti shemeji apunguze kujiremba!
Naomba tenda nna uzoefu sana na hiyo kazi!!!!!!!
Gangamalah ! Pole kwa kuguswaguswa mara kwa mara! Mzibiti shemeji apunguze kujiremba!
Nafasi bado ipo, malipo manono
Vigezo na masharti;
1. Referees watatu, ambao umewafanyia kazi hii ya ukuwadi kwa mafanikio makubwa
2. Uzoefu wa kutongoza/kutongozwa usiopungua miaka mitatu
3. Idadi ya uliowatongoza/kutongozwa nao-wangapi wamekubali/kukataa ili nipate statsics
4. Hati ya kiapo kuwa hutamkuwadia mwingine huyo chaguo langu
niamini kazi nnaiweza, nimechezea viboko sana kwa ajili ya ukuwadi....
muda wote nipo kama bodaboda napeleka barua nasubiri majibu
hata muda wa kula nilikuwa nakosa!!!!!!
utadhani nilikuwa nafanya kazi DHL
...eti eeh!!Huwez kuwa kuwadi kama hujui kutongoza
Ole wake huyo atakayeleta pua yake!!!!
We moto2012 Usije sahau kuweza mbasa na masangarafu.... FIWI KWA MBALIIII.... SOBOLA BILA KUISAHAU TENA ILE KICHAAhahahahah! charminglady, kwa kweli huitambui thamani yako, C6 si mwanaume wa dinali yako mama, kam to me, upate upendo na mapenzi, ndoa yetu ukikubali basi itafungwa ktk kanisa la Mt. Matias Mulumba, fungate tutanyia katika fukwe za ziwa nyasa, ulisha wahi onja mbelele wewe? Basi ndo itakuwa menyu yetu, wifi zako watarajiwa @FP, Snowhite na Kipipi wanajianda kwa kioda, shemeji zako Ngalikihinja na Maboso wanafanya riheso ya mganda, utaona vitu live si kama uonavyo ktk Tv
hahahahah! charminglady, kwa kweli huitambui thamani yako, C6 si mwanaume wa dinali yako mama, kam to me, upate upendo na mapenzi, ndoa yetu ukikubali basi itafungwa ktk kanisa la Mt. Matias Mulumba, fungate tutanyia katika fukwe za ziwa nyasa, ulisha wahi onja mbelele wewe? Basi ndo itakuwa menyu yetu, wifi zako watarajiwa @FP, Snowhite na Kipipi wanajianda kwa kioda, shemeji zako Ngalikihinja na Maboso wanafanya riheso ya mganda, utaona vitu live si kama uonavyo ktk Tv
We moto2012 Usije sahau kuweza mbasa na masangarafu.... FIWI KWA MBALIIII.... SOBOLA BILA KUISAHAU TENA ILE KICHAA