Kipaji Halisi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 2,280
- 1,366
orait...jioni njema...Kipaji Halisi nakuelewa ila wewe ndo haujanielewa.
but .....asante.....kazi njema.

Wapendwa wa Jukwaa hili!
Nimekuwa nikifuatilia mashindano na tuzo mbali mbali zinazotolewa kwa members wenye sifa mbali mbali hapa CC, mfano ile ya "Best couple"
Nimeshawishika kuleta hii khabari/jambo hili hapa tumpate mtaalam wa ukuwadi, akishapatikana-kuna kazi nataraji kumpa kwa malipo manono! Nataka kuwadi na si Mshenga, kwa maana hiyo King'asti (mshenga wangu kwa Preta hataruhusiwa) Preta my wife asisome huu uzi, @F.P, snowhite na Kipipi wasishiriki ni dada zangu, charminglady asishiriki coz yenye ndo wa kufanyiwa kazi, watu8 na platozoom hawaruhusiwi (Hawa ni watani zangu hata wakishinda wataleta utani na kuharibu mpango mzima), AshaDii, ajiweke pembeni kabisa, ataharibu P yake, Wiyelele asishiriki asije akataka kuzaa naye halafu akamtaka huyo mtoto kinguvu, wengine woote karibuni, @lara1, naomba uwe jaji (Mwenyekiti), Zinduna awe katibu, twende kazi
Teh teh...hebu mwaga tenda hiyo kwanza...
Daddy.... inabidi uongeze security maana hawakawii kuvunja ukuta!!!
nadhani wewe hunifahamu vizuri, muulize Erickb52 na yule jamaa aliyekuwa anamuandama mke wangu wa ndoa charminglady , sasa wewe ndio utakuwa fundisho kwa wengine wenye tabia kama yako
mkuu Bishanga shukraniu kwa kunishtua maana huyu jamaa hajui kanda maalum kwa nini iliitwa hivyo
Kaka @C6, kama huwez kumtunza why usikubali hustahili kuwa na first class girl kama charminglady?
kaa pembeni mamaa , mang'ana gasarikire, kuna mtu anataka kuaibishwaMh.... ngoja nikae pembeni nishuhudie huu mtanange!
Wapendwa wa Jukwaa hili!
Nimekuwa nikifuatilia mashindano na tuzo mbali mbali zinazotolewa kwa members wenye sifa mbali mbali hapa CC, mfano ile ya "Best couple"
Nimeshawishika kuleta hii khabari/jambo hili hapa tumpate mtaalam wa ukuwadi, akishapatikana-kuna kazi nataraji kumpa kwa malipo manono! Nataka kuwadi na si Mshenga, kwa maana hiyo King'asti (mshenga wangu kwa Preta hataruhusiwa) Preta my wife asisome huu uzi, @F.P, snowhite na Kipipi wasishiriki ni dada zangu, charminglady asishiriki coz yenye ndo wa kufanyiwa kazi, watu8 na platozoom hawaruhusiwi (Hawa ni watani zangu hata wakishinda wataleta utani na kuharibu mpango mzima), AshaDii, ajiweke pembeni kabisa, ataharibu P yake, Wiyelele asishiriki asije akataka kuzaa naye halafu akamtaka huyo mtoto kinguvu, wengine woote karibuni, @lara1, naomba uwe jaji (Mwenyekiti), Zinduna awe katibu, twende kazi
Teh teh...hebu mwaga tenda hiyo kwanza...
shemeg unataka umkuwadie mtu?
mkono mtupu haulambwi shemeg...hawa madomo zege huwa wanaofa mshiko mrefu sana ukimfanyia kazi kama hii vzr.
khaaaaaa! Hii naikopi na kupaste mpaka kwa dada!
ndio tushafika mjini hivyo shem...lazima tusiache fursa zitupite...
halafu shemeg, mwenzio nataka kudozi ujue...
shem tulale basi..... haya zima taaa!!
Sasa usivute shuka shemeg lol....ciao!!!