kuwa kama kuwa sio kuwaka mkuu i mean kuwa mwanga gizani kwa maana ktk kila mtu kutokana na kitengo alichopo awe mwanga ktk hiyo nafasi aliyonayo hii itatuondolea umaskini na kuheshimika dunia nzima kama waafrika ambao wenzetu wamezoea kupaita bara la giza!