Kuwa Single yapitishwa kama Disability

Kuwa Single yapitishwa kama Disability

Du bahati hiyoo bora watutambue hiyo kuwa ni disability hiyo ni fursa kwetu wajanja wa kujiongeza kiakili wengine wa naona ni tusi wakati wajanja tushaona fursa"opportunity " uleee to be single
Umeona mkuu..tuanzishe NGO
 
Hahahaha sishangai, Ila ushoga na lesbians eti wanasema ndo sio Disability.
 
Hatimaye Shirika la Afya la Dunia lapitisha kwamba kuwa single ni tatizo la kiulemavu kwa hiyo wale ambao tuko single tujiandae sasa .

Nawasilisha ingawaje hapo wameandika kikrito ila ndio hivyo kina bashite mtulie .

On October 2016, it was announced by the WHO(World Health Organization ) officials themselves that being single is a disability. The controversial announcement by WHO says that single men and women who aspire to have their own families and offspring but are unable to find partners are considered disabled. The headlines regarding the new label shocked millions of lonely souls around the globe.


WHO is very firm in their stand that every person in living in the world have the right to reproduce. Unfortunately some people whether they are homosexual or heterosexual are unable or unlucky to find their desired partners. The new guidelines set by WHO stressed out that the inability to find partners can be equated to infertility!

The new announcement attracted legions of detractors. Most of them point out that WHO should only care for medical concerns rather than personal choices. Yes it’s true, some people are single by choice, or single because they are unable to have partners. Fortunately the WHO’s standards are not yet ratified for worldwide imposition.

credit: thedailyaltative.com
Vipi ushoga na usagaji si ndio hakutakuwa na neno sahihi?
 
Je wale wanaume ambao wanatafuta malaya wanawekwa grup ganiiijj
 
Masingle wote ni walemavu duh wangetuwekea hata umri Wa kuanza kuwa mlemavu
 
Sikubali kama kuwa single ni Disability kwa sababu kuna kipindi unaweza ukawa unatafuta partner unakosa kila unaemfuata anakataa hata utumie mbinu gani mi nasema hivi kuwa single ni KIPINDI CHA MPITO
 
Back
Top Bottom