Kuwa SHOGA hutaki nakata misaada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuwa SHOGA hutaki nakata misaada

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by engmtolera, Nov 1, 2011.

 1. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #1
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  haya,tujiandae na kila jambo juu ya misaada tuipokeayo kutoka nchi wahisani

  kuwa shoga hutaki nakata misaada

  tembea uchi hutaki nakata misaada

  uza madini yako hutaki nakata misaada

  tumia vyandarua vilivyotoboka hutaki nakata misaada


  huo ndio utumwa wa misaada tunayoitafuta nchi za nje

  kama bwana mackenzie alivytuletea ile habari ya kupunguza watu kazi,eti kupunguza matumizi ya serikali akadai kama hatutaki watakata misaada

  Jamani umefika wakati wa kujitegemea kwa kile kidogo tulichonacho,la sivyo tutakuwa ni watu wa kulazimishwa kufanya kila jambo na hawa tunaowaita WAHISANI
   
 2. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,460
  Likes Received: 1,334
  Trophy Points: 280
  Si tumezoea kila kitu ni kwa hisani ya watu wa. . . . . . . . . . .
   
 3. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kufadhiliwa sana kubaya....
   
 4. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndo hapo sasa, na hii nazi yetu si ndo ipo huko nje kuomba misaada....mana isipo safiri tutakufa njaa
   
 5. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,823
  Likes Received: 922
  Trophy Points: 280
  Mtu akikufadhili ujue hakawii hata kukuchukulia mkeo/mumeo na ukibisha anasema nakata misaada!! nimewahi kuwauliza rafiki zangu kama 12 hivi jamani kati yenu nani anasaidiwa budget yake ya kuishi kwa mwezi kwa asilimia lau 7?!!

  Kila mtu alikaaa kimya manake kwamba hakuna na hivyo ni juhudi zao wenyewe kujijua wao wataishije ana familia zao... sasa hizi nchi za Kiafrika zinadharaulika sana na haya Mazungu na hiyo yte ni kwasababu ya Viongozi waoga na vilaza tulio nao...manake wanaiba hapa wanapeleka huko ulaya zinazalishwa halafu wanaomba mkopo kwa mtaji huo huo aliokwiba hapa Afrika hii ni aibu sana..

  Tusisahau Ulaya imefilisika sana saivi wanaenda kuomba omba Uchina sasa hao ndio watusaidie sisi?!! Are we serious?!! Tuamke tukatae hiyo misaada njaa tutaweza kuishi bila hiyo misaada na vile vile tutafaidi uhuru wetu ama la watasema mssilale na wake/waume zenu jmamos mkipinga hakuna misaada !!

  Ujinga huoo..**** You Cameroun pumbafu kwanza ulimuua Ghadaff SHOGA FANYA NA MAMAKO huko huko..pumbaf kabisa mrisya...
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,337
  Likes Received: 19,511
  Trophy Points: 280
  kuna siku mtttambiwa ili upewe misaada lazima kwanza tuwatie wananchi wako dole wote ...
   
 7. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #7
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Jamaa wanakela sana,wanatumia fimbo ya misaada kutuletea uchafu wao

  kama umesikia jana na juzi Zimbambwe wananchi wanamlaumu changirai waziri mkuu wa zimbambwe baada ya kulazimisha issue ya ushoga iwe ktk lasimu ya katiba,na ameyasema hayo wakati akihojiwa na BBC,Yaani huu uhisani utamaliza utamaduni wetu
   
 8. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,304
  Likes Received: 22,109
  Trophy Points: 280
  Utumwa wa fikra ndio adui yetu mkubwa. Tunadhalilishwa na wakoloni kwa ajili ya ujinga wetu. Leo wanatuambia tuwe mashoga ndio tupate misaada na sisi tunakubali.

  Nyerere alisema mwenye akili akikuambia jambo la kipumbavu na wewe ukakubali atakudharau. Wazungu wanatudharau kwa uroho wetu na uvivu wetu wa kufikiri.

  Next time watasema tuingiliane kimwili na wazazi wetu, nasi tutakubali kwa kuwa tumejiaminisha akilini mwetu kuwa hatuwezi kuishi bila ya misaada
   
 9. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #9
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  na hicho ndicho kijacho,kama umesikia pale Msowero Kilosa kunavyandarau vya wahisani vimeonekana kutoboka,mwenyekiti alipotaka kuliongelea hilo akaelezwa kuwa wahisani watakasirika-tunaumizwa kwa umasikini wetu wa kuombaomba,hivi kaka umeviona hivyo vyandarua vya wahisani? tundu lake nzi anapita je hapo ni kupunguza marelia ama kuyaongeza?
   
 10. 124 Ali

  124 Ali JF-Expert Member

  #10
  Nov 1, 2011
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 5,705
  Likes Received: 2,387
  Trophy Points: 280
  Kwa maisha ya mtanzania wa kawaida sioni kama hiyo misaada shogalizing ni muhimu yaani kusiwe na mjadala katika hili tuwape total ban kutusaidia na wawakilishi wakikubali uhanith huu ,tuwatimulie mbali kama wanahamu ya kuf..?@.rwa na kus,.?'gwa
  si wamalizie hamu zao wakienda kwenye hizo ziara za kuombaomba!
   
 11. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #11
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Ujinga wetu na uoga ndio unaosababisha haya yote. Hapa inabidi nasi tubadilike na tuache ujinga na tuikatae hii misaada yenye masharti ya ajabu.
   
 12. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #12
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  hahahahahahahahaha
  polepole mkuu
   
 13. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #13
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Ndio maana vyandarua hivyo huku kwetu vinatumika kwenye bustani za mbogamboga kuzuia kuku..
   
 14. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #14
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Tehe tehe tehe eeh!! hasira hizo kaka....
   
 15. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #15
  Nov 1, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,253
  Trophy Points: 280
  Hakuna kitu kinanaifedhehesha kama kuona msaada huu umetolewa kwa msaada wa raia walipa kodi wa nchi ya...................Blshit ni udhalilishaji wa ali yajuu kwani nilazima tuombe msaada??kwani bilioni tunazokusanya kwenye kodi zetu haziwezi kufanya kitu chochote??kwa nchi yetu??
   
 16. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #16
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  wakiona wahisani hamtapata msaada tena
   
 17. MUIKOMA

  MUIKOMA Member

  #17
  Nov 1, 2011
  Joined: Nov 1, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Cha bule hewa na somtimes ukiugua utainunua hasptal.
  Wewe unataka kula tu bila kuliwa.
   
 18. z

  zindouna JF-Expert Member

  #18
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 248
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Tunakokwenda tutaambiwa tulale na watoto wetu !!!!! Haki za watoto kuburudika!!! Mungu tuepushe na hawa mashetani weupe.
   
Loading...