Nimefurahi kukuona mkuu.. nilijua labda nambo baya limekutokea. Karibu sana mkuu tuendelee na mijadalaDa'Vinci
Mkuu, asante kunikumbuka.
Nipo tena mitaa ya Wellington.
Tutaendeleza mijadala yetu hivi karibuni hasa baada ya kukamilisha mambo ya kikazi wiki hii.