Uncle Jei Jei
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,684
- 2,157
Asalaam wanabodi, tafadhali naomba kufahamu chanzo kinachoweza kumsababishia malengelenge msichana ambaye hajazaa kwenye mirija yake ya uzazi. Pia endapo kuna madhara makubwa anayoweza kupata na namna ya kuyatibu. Hayo yamempata msichana mwenye miaka 26 na hujawahi kuzaa. Tafadhali naomba msaada wenu wataalamu. Natanguliza shukurani zangu kwenu