Kuwa na bahati na jina fulani

Kuwa na bahati na jina fulani

Ndio umezoea kulitamka kwa mara nyingi kwa uliowahi kudate nao ndio maana unajichanganya muda fulani
Ikitokea hivyo hakuna namna inabidi nidanganye ila najitahidi sana kujizuia
 
mie mwanamke akiwa na "t" kwenye jina lake kwisha habari ninaita "t-formular"
 
Back
Top Bottom