Usiwe mwema kwa sababu unataka kuwafurahisha watu. Kuwa mwema kwa sababu ni vizuri kuwa mwema. Dunia haiwakubali watu wema kabisa lakini jitaidi hivyo hivyo kuwa mwema. Maisha yanatupa zawadi kwa malipo ya kila tendo.