Kuwa mwanamke raha kweli
Tabu inakuja nikifikiria kwenye kuzaa pale,nasikia inauma kinyama mixer kuchunguliwa
asante kwa taarifa mkuuππβοΈKuna watu wanazaliwa kwa namna km tatu hivi.
Waliochelewa kuzaliwa(zaidi ya miezi 9) wengi wao wakiwa na shida basi huwa ni shida haswa.
Waliowahi kuzaliwa kabla ya miezi kutimia(hawa husumbuliwa tu kile kipindi cha mwanzoni cha ukuaji wao lakini wanakuwa smart baadhi yao.
Waliozaliwa miezi kamili. Hawa wengi ni hii jamii ituzungukayo. Ila shida yake huathirika na jamii hii kubwa inayomzunguka.
Baadhi ya wazazi hukosea sana kujipangia mtoto wazi wazi kuwa ningepata dume au jike matokeo yake ndio haya.
Kila kitu kina sababu na kila kitu kipo kwa sababu.
Usilaumu maamuzi yoyote ya muumba wako kwa jambo alilokufanyia.
Unasikia inauma....???? Kwa hiyo bado hujazaa tu mpaka sasa!! Labda kama hujajaliwa.
roho bado kuwacha mwili.ila vitabu tu ndio vinatuambia hivyoRoho yako ilishawahi kutaka kuacha mwili?
Sijawahi kuchunguliwa kaka
neverTukuchangie ela ukafanyiwe transgender surgery, uwe mwanamke?
roho bado kuwacha mwili.ila vitabu tu ndio vinatuambia hivyo
makerTrouble
farisyVitabu kaandika nani?
My wife huwa ananiambia alitamani kulala chooni kwa uchungu wa kuzaa. Jiandae maana hata biblia umesema utazaa kwa uchungu. Labda upasuliwe tu.Kuwa mwanamke raha kweli
Tabu inakuja nikifikiria kwenye kuzaa pale,nasikia inauma kinyama mixer kuchunguliwa
Nyie watu mkifika mount kilimanjaro juu kbs mtakua mnapataga burudani zaidi yetu aisee,na hela mnakula na burudani mnatuzidi....jmn kuweni na huruma muwe mnatuhonga bac?Kuwa mwanamke raha kweli
Tabu inakuja nikifikiria kwenye kuzaa pale,nasikia inauma kinyama mixer kuchunguliwa
Joanah huna mtoto!? Joanah we ni bikira!?
Kuwa mwanamke raha kweli
Tabu inakuja nikifikiria kwenye kuzaa pale,nasikia inauma kinyama mixer kuchunguliwa
Aaaaah! Sio kwel mkuuNa raha ya mwanaume ni huo ugly wenyewe sasa
Ulitaka mwanaume awe soft soft hata haipendezi bwanaAaaaah! Sio kwel mkuu
Pole sana, machungu ya kujifungua na kuchunguliwa na wakunga ndio maisha ya kawaida kwa wana ndoa.Roho yako ilishawahi kutaka kuacha mwili?
Sijawahi kuchunguliwa kaka
Wacheni udadisi wa kitoto, kama mnataka kuchungulia pelekeni barua,haishindi maumivu wakati roho inatakuwacha mwili samahan dd hivi hujawai kuchunguliwa kabisa mpk umri huo