KUWA MWANASHERIA NDANI YA MWEZI MMOJA TU

Jaffary

Jaffary

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Messages
784
Points
250
Jaffary

Jaffary

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2011
784 250
Mnaokosoa wote naona mnashindwa kuelewa tofauti ya MWANASHERIA na WAKILI.

Mwanasheria ni mtu yeyote ambaye amejifunza na anaijua sheria.

Wakili ni mtu aliyepewa idhini ya kuwakilisha watu kwenye kesi Mahakamani. Ili kuwa Wakili ndo inabidi usome degree na ufaulu Law School. Lakini Mwanasheria sio lazima kupitia kote huko.

Nifafanue tu kwamba kozi hii haitakufanya uwe Wakili, ila itakufanya uwe Mwanasheria.

Jambo la Muhimu kwa mnaotaka kujifunza kufahamu ni kwamba MAHAKAMA ZIKO WAZI KWA KILA MTU. SIO KWA MAWAKILI TU. MTU YEYOTE ANAKARIBISHWA KUFUNGUA KESI YAKE MAHAKAMANI AU KUJITETEA KWENYE MASHTAKA DHIDI YAKE MAHAKAMANI. SIO LAZIMA ATETEWE NA WAKILI.

Kwa hiyo kozi hii ndo imelenga hapo. Kukuwezesha uweze kuitumia Mahakama vizuri kwenye ishu zako za Kisheria.

Natumai mpaka hapo tumeelewana.
Wewe utakuwa na tatizo kwenye ubongo wako. Mwanasheria ni mhitimu wa shahada ya sheria kutoka kwenye chuo kilichosajiliwa na serikali. Wakili ni mhitimu wa shahada ya sheria plus aliyefaulu Bar Exams au Law School.

Wacha utapeli kijana, tafuta pesa kihalali vinginevyo utajuta!
 
PTER

PTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Messages
5,873
Points
2,000
PTER

PTER

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2014
5,873 2,000
Aisee.
Jaribu kuheshimu taaluma za watu wewe dogo.
 
GODZILLA

GODZILLA

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2014
Messages
2,677
Points
2,000
GODZILLA

GODZILLA

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2014
2,677 2,000
Pumbavu mkubwa wewe!

Watu wanakaa darasani miaka mitano mpaka saba kusoma taaluma ya sheria halafu unakuja mpuuzi mmoja wewe.... eti sheria mwezi mmoja!

Jinga wewe!

Ungekuwa karibu ningekutandika viboko!
 
M

Mwanafalsafa

Senior Member
Joined
Jun 24, 2007
Messages
150
Points
225
M

Mwanafalsafa

Senior Member
Joined Jun 24, 2007
150 225
Narudia tena naomba muwapuuze hawa wakosoaji sio kosa lao. Ni kosa la mfumo wetu wa elimu.

Ukijiunga na darasa langu somo la kwanza kabisa nitaeleza kwa undani kwanini Sheria ni somo rahisi kuliko yote, lakini mfumo wetu wa elimu ndo umesababisha sheria kuonekana ni somo gumu sana.

Karibuni sana.

Link ya kujiunga ni hii hapa

GUARANTEE

MAFUNZO NI YA MWEZI MMOJA. ILA NDANI YA WIKI MOJA YA KWANZA UKIONA MAFUNZO YANGU NI MIYEYUSHO NAKURUHUSU KUJIONDOA NA NITAKURUDISHIA ADA YAKO YOTE KAMILI BILA MASWALI YOYOTE.
 
R

RAYAN THE DON

Senior Member
Joined
Aug 21, 2019
Messages
114
Points
225
R

RAYAN THE DON

Senior Member
Joined Aug 21, 2019
114 225
Mwaka huu njaa zitawaua watu kwa kweli. Huwezi ukawa mwanasheria kwa namna ulivyoelezea labda tu kama watakuwa Vishoka mtaani kutokana na sababu zifuatazo:-

Kwanza, Wewe ni nani utoe cheti cha uanasheria?

Pili, kwa lugha nyepesi haujui nini maana ya mwanasheria na wakili.

Tatu, hujui ni nani mwenye haki ya kusimama mahakamni na kumwakilisha mteja kati ya Mwanasheria na Wakili.

Nne, Taaluma ya sheria ina wigo mpana sana hivyo huwezi kuwa mwanasheria kwa mwezi mmoja.

Tano, njaa isikuendeshe mpaka unataka kuharibu taaluma ya watu Mkuu.
 
GODZILLA

GODZILLA

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2014
Messages
2,677
Points
2,000
GODZILLA

GODZILLA

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2014
2,677 2,000
Narudia tena naomba muwapuuze hawa wakosoaji sio kosa lao. Ni kosa la mfumo wetu wa elimu.

Ukijiunga na darasa langu somo la kwanza kabisa nitaeleza kwa undani kwanini Sheria ni somo rahisi kuliko yote, lakini mfumo wetu wa elimu ndo umesababisha sheria kuonekana ni somo gumu sana.

Karibuni sana.

Link ya kujiunga ni hii hapa

GUARANTEE

MAFUNZO NI YA MWEZI MMOJA. ILA NDANI YA WIKI MOJA YA KWANZA UKIONA MAFUNZO YANGU NI MIYEYUSHO NAKURUHUSU KUJIONDOA NA NITAKURUDISHIA ADA YAKO YOTE KAMILI BILA MASWALI YOYOTE.
Pumbavu mkubwa. Huna nidhamu wewe?????

Tafuta ujasiriamali mwingine lakini sio ujasiriamali wa kitaaluma. Tutakuadhibu kwa njia yoyote inayowezekana.

Wacha ujuha!
 
mahirtwahir

mahirtwahir

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2013
Messages
557
Points
250
mahirtwahir

mahirtwahir

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2013
557 250
Narudia tena naomba muwapuuze hawa wakosoaji sio kosa lao. Ni kosa la mfumo wetu wa elimu.

Ukijiunga na darasa langu somo la kwanza kabisa nitaeleza kwa undani kwanini Sheria ni somo rahisi kuliko yote, lakini mfumo wetu wa elimu ndo umesababisha sheria kuonekana ni somo gumu sana.

Karibuni sana.

Link ya kujiunga ni hii hapa

GUARANTEE

MAFUNZO NI YA MWEZI MMOJA. ILA NDANI YA WIKI MOJA YA KWANZA UKIONA MAFUNZO YANGU NI MIYEYUSHO NAKURUHUSU KUJIONDOA NA NITAKURUDISHIA ADA YAKO YOTE KAMILI BILA MASWALI YOYOTE.
Mi naomba ada ipungue kwanza tumalize kulipa baada ya kupata cheti
 
sajo

sajo

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Messages
537
Points
500
sajo

sajo

JF-Expert Member
Joined Nov 8, 2010
537 500
Mleta hoja amesema anafundisha watu wapate msingi (basic) ya sheria iwasaidie kuelewa mambo ya kisheria na kusimamia mambo yao wenyewe yahusuyo sheria, kitu ambacho kinawezekana tu. It is just basics..

Hajasema anamuandaa mtu kuwa wakili, au hajasema vyeti atavyotoa vitakuwa vya kielimu na vitatumika wapi..sasa hii kumshambulia sijui hata sababu ni nini..

Mwanafalsafa usife moyo kwa lengo lako hilo, wataopenda kujiunga acha wajiunge, sioni utapeli hapo kulingana na tangazo lako, kujiunga ni hiyari na kufanya due diligence ni jukumu la kila mtu anayetaka kufaidika na kitu.
 
M

Marwa_J_Merengo

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2018
Messages
2,963
Points
2,000
M

Marwa_J_Merengo

JF-Expert Member
Joined Aug 6, 2018
2,963 2,000
Link iko wapi mkuu halafu huwezi kushusha ada mpaka kwenye elfu 10 hii si kama kusaidiana tu halafu ukizingatia wengine sisi sio watu wa mikesikesi
 
D

deo paul555

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2018
Messages
838
Points
250
D

deo paul555

JF-Expert Member
Joined Oct 22, 2018
838 250
Kigezo cha elimu kipoje kwa anaehitaji kujifunza sheria?
Habari zenu Wadau,

Kama unatembelea jukwaa hili la sheria, ina maanisha tayari unafahamu umuhimu wa sheria katika maisha yako ya kila siku.

Lakini ukitaka kujifunza sheria program zilizopo Tanzania kwa sasa ni ndefu na za gharama. Inabidi ujipange.

Hivyo basi, baada ya kuwa nimepitia Program za Mafunzo ya Sheria Tanzania, na kufanya practical za kuendesha kesi Mahakamani nimewatengenezea Program ya Ukweli YA MWEZI MMOJA TU ambayo itakufundisha mambo yote ya msingi ya kukuwezesha kutatua matatizo yako yote ya kisheria wewe mwenyewe.

Ukitaka Wakili basi iwe umeamua tu. Mfano ubize umekubana,

Program nii inatwa ONE-MONTH LAWYER.

MAFUNZO YATAANZA JUMATATU YA 23/9/2019


Mada (Silabasi) ni kama ifuatavyo:

1. SHERIA NI NINI?
=> Maana, historia, na tofauti kati ya jinai na madai.

2. VYANZO VYA SHERIA
=> Katiba, Sheria za Bunge, Sheria za Mapokeo, Sheria za Kimataifa, Mila na Utamaduni, Hukumu za Mahakama

3. SHERIA MUHIMU ZA JINAI UNAZOTAKIWA KUJUA
=> Kanuni ya adhabu, Mwenendo wa jinai, Sheria ya Ushahidi, na jinsi ya kuvibaini vifungu vya jinai kwenye sheria zote

4. SHERIA MUHIMU ZA MADAI UNAZOTAKIWA KUJUA
=> Madhara, Mkataba, Mwenendo wa madai, Ndoa, Ardhi, n.k.

5. MAHAKAMA
=> Sheria iko Mahakamani. Hapa utajifunza aina zote za Mahakama, ziko wapi na zinafanyeje kazi

6. JINSI YA KUSHINDA KESI MAHAKAMANI
=> Kutathmini kesi, kuandaa nyaraka, kuandaa ushahidi, milango ya kutokea (loopholes), na jinsi ya kuongea.


ADA NI

TSHS. 50,000/- Kwa darasa la mtandaoni (kupitia app ya Telegram)

TSHS. 100,000/- Kwa darasa la uso kwa uso

SI HAYO TU...

Ukishamaliza kozi hii utapatiwa Cheti cha Kuhitimu, na utaunganishwa na Group Exclusive la Mtandaoni la wahitimu wote na wakufunzi wao ambapo lengo kuu ni kuhakikisha hakuna kesi yoyote ambayo itakusumbua milele. Ukiwa na kesi utaileta hapo kwenye group na utapewa nyenzo zote za kuimaliza hiyo kesi kuanzia Vyanzo vya Kisheria vya Kutumia, Nyaraka za Kupeleka Mahakamani, na Hoja za Ushindi.

Kama umevutiwa ingia Waiting Room kupitia link hii ya Telegram

Waiting Room unaweza ukauliza maswali, na utapewa maelekezo zaidi.

 
M

mtayeshelwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2011
Messages
994
Points
500
M

mtayeshelwa

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2011
994 500
Mkuu@Mwanafalsafa binafisi nimekuelewa lengo lako hasa ni kuwafanya watu wajue mambo muhimu katika sheria, kusema ukweli mimi katika taaluma ya sheria huwa naona giza giza mara mahakama imemkuta na kesi ya kujibu mwisho wa siku mhusika anaachiwa huru , mara mahakama imetupilia mbali mapingamizi ..OK kwa upande nitajiunga na hilo darasa at least nizinue a,b,c za sheria .
 

Forum statistics

Threads 1,335,213
Members 512,271
Posts 32,499,320
Top