Kuwa mpweke yataka moyo

Upweke ni mtihani Sana usimbe takukute
Sio kwamba utongozi au utongozwiii rahashaaa inachotokea unakosa wa kufanana nae

Sijui lini nitapata wa kurushiana mito chumbani
Mkuu naomba tutoane upweke
 
Upweke ni mtihani Sana usimbe takukute
Sio kwamba utongozi au utongozwiii rahashaaa inachotokea unakosa wa kufanana nae

Sijui lini nitapata wa kurushiana mito chumbani
Be specific unataka wa namna gani maana naweza kuwa huyo unaemtaka afu sijijui come see me
 
Em omba umpate yule aliyekuachia laana ya mahusiano mkae mezani mjadili

Kuna mtu yuko mahali anakusubiri
Upweke ni mtihani Sana usimbe takukute
Sio kwamba utongozi au utongozwiii rahashaaa inachotokea unakosa wa kufanana nae

Sijui lini nitapata wa kurushiana mito chumbani
 
Self love
 
Nasikia kuna wanaume wema mbona mm siwaoni
akajui kua mapenz ayaanzi tu paap mkapendana wote for the first time cha msingi atakaye mpata avumiliane naye mpaka itakapo fikia stage kua wamezoeana then waanze kurushiana mito chumbani ila akikurupuka uku jf watakavua bikini tu masikini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…