masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,581
- 20,216
Hii ndo MMU tuitakayo
sio habar za kufundishana kuiba mabwana za watu
Naongezea hapo kama una stress zako katika serikali yako ambayo haihusu muungano tafuta namna ya kuushrikisha muungano sio kununa nuna tu