Kuwa makini na wanaume wa dizaini hii

Kuwa makini na wanaume wa dizaini hii

we jitie mjanja, itokuozea hiyo nanihii au utaishia usagaji, we unazani wanaotoa hawajui kua wanapigwa magirini?
 
sasa hawa wanaume waongo ndio wanatuharibia sisi wakweli mpaka tunawakosa hawa akina lara1 na ciello wanadhani ndio walex2
 
Hahahaaaaaaaaaa! wenzio tunapitisha theraaa Audit!!!!!! Sio juu juu! Hadi Bank statement (Reconciled) tuione, Balance sheet, Income statement, Cashfow statement, Statement of changes in equity, Auditors report hadi accounting notes tunasoma!


Sisi sio wa bei cheeeeeeee! Thubutuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!
mmmmh hizi procedure mbona kama wataka uchukue mkopo bank...? umekua bank wewe? masharti nafuuu yako wapi
 
Hacha kutuharibia "Machungio"!:nimekataa


Habari wanajamvi wenzangu,
natumai mko fiti kabla sijamaliza mwaka huu nimekuja na kitu kingine leo ambacho kitawafanya wadada na wamama zetu kuwa makini na watu wa aina hii ninaowaelezea hapa. Kuna WANAUME ambao mara ya kwanza wakikutana na wadada watajichetua na kusema maneno mengi yasiyo na maana tena wengine watajichetua kwa kusema kuwa nikupeleke lunch ama dinner twende hoteli gani wewe chagua usiwe na wasiswasi hapa ni BOT hapaishiwi kitu na kumbe ana lolote ni magilini na mpita njia tu anataka kukuaharibia tu ili uingie line na akishakuweka katika timeline yake basi umebugi womeeen. Wanaume wengine utawasikia kuwa ohoo nitakujengea nyumba ya ghorofa wakati yeye mwenyewe anaishi banda la uani manzese B, hana hata godoro sasa hilo ghorofa hatalimuduje wakati maisha yake tu kwa siku yanamshinda. Nataka kuwataadharisha wadada na wamama acheni tabia ya kumzoea mtu kwa siku na kufanya urafiki wa nguvu naye si busara wala sio vyema kabisa wanawadanganya hao ni matapeli wa mapenzi wana jipya ndani yao wamebaki kujishaua tu kuwa makini na watu wa aina hiyo, na ni vyema ukajifunza kutokana na maneno yao ya mara ya kwanza. Natumai mtanielewa na kuchukua hatua za kutokujianika bure kwa mabazazi wabaya na waharibifu kama hao

Happy new year 2013
 
Kama kuna mwanaume bado siku hizi ana jishow off me namuona mshamba tu, kama una hela au una nia ya kumfanyia mwanamke something then hamna haja ya kujionyesha kila kitu kitakuja tu step by step
 
yaani mtu asithubutu kunitongoza kwa gia ya kunijengea nyumba, nitamwambia kabla hujafikiria kujenga naomba milioni 17 nikanunue kiwanja kibada.....kama hajatiririka mwenyewe........

Halafu dawa ya matapeli ni kuwapiga mizinga.... Akikuweka hewani tu unamwomba 20,000 ya vocha, akituma unambip tu kama hajakimbia............

Nashangaa nmahangaika nini na hawa matapeli wa mapenzi, dawa yao ndogo tu, tena ukimkuta king'ang'anizi lazima aje kutuma thread ya kulalamika mizinga jf au fb heheheheheh

( usijaribu mbinu hii unless uwe jambazi kama BT)
 
Hahahaaaaaaaaaa! wenzio tunapitisha theraaa Audit!!!!!! Sio juu juu! Hadi Bank statement (Reconciled) tuione, Balance sheet, Income statement, Cashfow statement, Statement of changes in equity, Auditors report hadi accounting notes tunasoma!


Sisi sio wa bei cheeeeeeee! Thubutuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!


Unaijua creative accounting wewe?
 
Hahahaaaaaaaaaa! wenzio tunapitisha theraaa Audit!!!!!! Sio juu juu! Hadi Bank statement (Reconciled) tuione, Balance sheet, Income statement, Cashfow statement, Statement of changes in equity, Auditors report hadi accounting notes tunasoma!


Sisi sio wa bei cheeeeeeee! Thubutuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!

Hahahahahaaaaaaaa, wapi wewe? Acha uongo huo Lala 1! Majuzi juzi tu mchaga aliondoka ukaangukia kwa Dogo aliyekuwa anatumia gari la baba yake na akakufanyia mbraaaaaaaaaaya! Wewe kwa kuingia kichwa kichwa ukidhani mwenye nazo kwa vile alitumia mchuma wa home kwao akakutoa out tena kwa kujichagulia site, SI Ukakomea kulipa bili wewe mwenyewe bila kupenda, ahahahahahaa! Dawa ya kupenda wenye pesa ndo hiyo mtadanganywa sana Lala 1 Mdogo wangu kwani hakuna mwanaume asiyetaka vitamu/vizuri japo kwa macho tu bila kujua vilivyomo ndani!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
................ Sawa .. aje kwa njia gani uli umkubali?
 
Kama sio sadist basi ni feminist!! nadhani yamemkuta!! pole, weeeee!! another time take care!!
 
Nilikuwa nawatafuta kwa hamu sasa nimewapata kiulaini kumbe mko hivyo ninyi wanaume hee
acheni kuwadanganya wadogo zangu

nawatakia kheri katika kuukaribisha mwaka 2013

byeee

mbarikiwe nyote mafriendy zangu wana jf
 
Habari wanajamvi wenzangu,
natumai mko fiti kabla sijamaliza mwaka huu nimekuja na kitu kingine leo ambacho kitawafanya wadada na wamama zetu kuwa makini na watu wa aina hii ninaowaelezea hapa. Kuna WANAUME ambao mara ya kwanza wakikutana na wadada watajichetua na kusema maneno mengi yasiyo na maana tena wengine watajichetua kwa kusema kuwa nikupeleke lunch ama dinner twende hoteli gani wewe chagua usiwe na wasiswasi hapa ni BOT hapaishiwi kitu na kumbe ana lolote ni magilini na mpita njia tu anataka kukuaharibia tu ili uingie line na akishakuweka katika timeline yake basi umebugi womeeen. Wanaume wengine utawasikia kuwa ohoo nitakujengea nyumba ya ghorofa wakati yeye mwenyewe anaishi banda la uani manzese B, hana hata godoro sasa hilo ghorofa hatalimuduje wakati maisha yake tu kwa siku yanamshinda. Nataka kuwataadharisha wadada na wamama acheni tabia ya kumzoea mtu kwa siku na kufanya urafiki wa nguvu naye si busara wala sio vyema kabisa wanawadanganya hao ni matapeli wa mapenzi wana jipya ndani yao wamebaki kujishaua tu kuwa makini na watu wa aina hiyo, na ni vyema ukajifunza kutokana na maneno yao ya mara ya kwanza. Natumai mtanielewa na kuchukua hatua za kutokujianika bure kwa mabazazi wabaya na waharibifu kama hao

Happy new year 2013

Kwenye RED bado sana ladyfurahia...Chochote kinaweza kutokea na historia ikaishia 2012.
 
Last edited by a moderator:
mtu akisema hana hawaamini ila kiukweli mwanamke anaetokewa kwa style hiyo ya jamaa kujifagilia atakuwa ameingia mjini leo
 
tumeishaiingia babhana happy new year year year 2013
 
Back
Top Bottom