Kuwa makini na hii scam

Kuwa makini na hii scam

youngkato

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
3,638
Reaction score
3,641
Kuna scam moja inatrend

Kuna watu wanajifanya Indonesia (japo ni jirani zetu)

Wanawacheki watu WhatsApp, wanapanga na task za YouTube likes wanawalipa buku buku

Badae wananogewa wanaingia kwenye mtego wa ku deposit pesa kubwa

Nimepokea kesi nyingi WhatsApp

No easy money
20240115_181245.jpg
 
Binafsi hii ilinitokea ingawa nilistuka mapema, wanakuunganisha uingie telegram channel, wanatuma task za ku subscribe youtube kila subscribe ni buku, ila kuna task ya ku invest hio mnatuma ela afu mnarudishiwa pesa mara mbili, bas hawa jamaa wame set bots za telegram kibao zinatuma screenshot za miamala mikubwa mikubwa ili uingie kingi
 
Nilipata hiyo text whatsapp nikaireport ASAP
 
Hata mie wamenicheck week hii
Moja inaanzia +62 nyingine +212 ...zote wametuma "hi" sijajiuliza mara mbili kuhusu block
Me nikajibu maana Nina watu wa nje tunawasiliana nashangaa ananiambia habari za fursa sijui nn nikablock huko
 
Back
Top Bottom