Mr. Marangu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2013
- 1,574
- 1,595
Baadhi ya wanandoa husave ma hawara wao majina ya ajabu ajabu lakn huyu jamaa kafunika, Siku moja jamaa kaenda Bafuni kaacha simu mezani mara ka demu kake kaka mpigia mKewe akaiangalia kisha akaikimbiza kwenye chaji kumbe jama alikua amemsave battery low.....