Kuwa makini na cmu ya mpenzi wako

Kuwa makini na cmu ya mpenzi wako

Mr. Marangu

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2013
Posts
1,574
Reaction score
1,558
Baadhi ya wanandoa husave ma hawara wao majina ya ajabu ajabu lakn huyu jamaa kafunika, Siku moja jamaa kaenda Bafuni kaacha simu mezani mara ka demu kake kaka mpigia mKewe akaiangalia kisha akaikimbiza kwenye chaji kumbe jama alikua amemsave battery low.....
 
kwanza unashika ya nn pekua yako achana na kujiumiza kichwa wakat huna lakufanya me binafs cna tyme hyo
 
Baadhi ya wanandoa husave ma hawara wao majina ya ajabu ajabu lakn huyu jamaa kafunika, Siku moja jamaa kaenda Bafuni kaacha simu mezani mara ka demu kake kaka mpigia mKewe akaiangalia kisha akaikimbiza kwenye chaji kumbe jama alikua amemsave battery low.....
  • Fasta kwenye chaji isije zima. Du!..........
 
Jaman wenye ndoa wajibu basi kha. Wengne mh sisem haya mambo yarun dunia

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom