Kuwa makini ewe binti

Kuwa makini ewe binti

Usitudanganye,muda huo wanakuwa wameshamaliza ujana,wamejijenga kimaisha,kiuchumi angalau wamesimama binafsi habari za kuchumia juani am not interested at all nataka kimvulini ili nkifika nkusaidie kubaki kimvulini,sasa below dat age ndo kwanza wanasubiri ajira wengine watoto wa mama hawajui hata kulima wanangu watakula nini,au nitalea watotot wangapi, Mume wangu huko uliko piga kazi me nakuombea ukiwa vizuri tutakutana
 
UMRI HUO UJUE UNAENDA KULALWA NA MUME WA MTU KAMA ULIKUWA HUJUI
 
Heshima kwenu..

Napenda niseme jambo moja kuhusiana na hawa wanaume wenye umri kuanzia 35-40. Wallah ukikuta mwanaume wa hivi halafu hana mke, hana mchumba wala hayupo kwenye mahusiano waogope kama scopion. Walishatendwa, hawajui tena kupenda, hawajali yani wapo tayari kwa lolote kwenye mahusiano.

Mengine utaongezea mwenyewe!
Mbona munasema muna taka hao eti ndo wametulia? Huku mukituponda wa 30 34 achen ugeu geu Don't Estimate a Man
 
Back
Top Bottom