marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,110
- 1,952
Kwanini bi harusi ahusike na uchapaji wa kadi za harusi wakati harusi ni upande wa mwanaume 🙄🙄Bado tuko mahali hapa kusuluhisha, bado tunamsihi Bwana Harusi kuwa kosa ni la mchapaji wa stationary siyo Bibi Harusi.....
Kwanini bi harusi ahusike na uchapaji wa kadi za harusi wakati harusi ni upande wa mwanaume [emoji849][emoji849]
Kwanini bi harusi ahusike na uchapaji wa kadi za harusi wakati harusi ni upande wa mwanaume
Sisi mabudha hata biblia hatunaMuwe mna quote na maneno kabisa, ukiweka mstari sidhani kama kuna m Tanzania atakayejipa shida ya kusoma Bible.
ila watanzaniaNi stationery sio stationary
Kwanini alikwenda Bibi Harusi, kitu gani kilimfanya .Bw Harusi asiende? Tuanzie hapoBibi Harusi alienda stationary aliomba achapiwe 1 Yohana 4:18 kwenye CARD YA HARUSI lakini mchapaji alifanya kosa kwa kutoweka "1" kabla ya Yohana hivyo akachapisha Yohana 4:18_
Tusichojua [emoji23]Tunachokijua.