Anataka taratibu,kanuni,sheria na katiba vifuatwe.Ulitakaje kwani?
Kivipi?Anataka taratibu,kanuni,sheria na katiba vifuatwe.
Sole mkuu marekebisho alipiga picha na Lema.Yule Askari aliyepiga picha na mbowe wa jwtz... Alifukuzwa kazi.
Hao walimu wa CWT hawana msaada kwa walimu wenzao labda kufirisi yale mapato ya Kila mwezi..,...
Achaga upimbi basi.Kivipi?
Ulitakaje kwani?
Mbona mwenyekiti wao ana Phd
jaribu kuhoji aliipataje .Mbona mwenyekiti wao ana Phd
Nasikia ahmada alifeli secondaryjaribu kuhoji aliipataje .
Nduguway kasema genge lijalo atahakikisha ukomo unaondolewa...Nilipokuwa naangalia taarifa ya habari Leo nimeona walimu wanaojiita makada wa ccm waziwazi wakisema wako kwenye harakati za kusaidia chama chao. Kilichogonga haraka mawazoni mwangu ni, inawezekanaje wafanyakazi wa Umma( civil servants) wafanye siasa za wazi( active politics) na bado wakawa hawajafanya kosa ktk utumishi wa umma? Hivi wangeonekana wachama wa vyama vingine vya siasa wakifanya hivyo, wangebaki salama? Au ndo ile dhana ya absolute power corrupts absolutely?? Hakika naamini Sasa madaraka ni ulevi mbaya. Ebu wanaotuongoza waweke precedence yakutuongoza justly( kwa haki).
Yule aliyemuua Mwangosi karudishwa kazini,na amehamishiwa Dodoma. Kalipwa mishahara yote kwa kipindi chote akiwa jelaYule Askari aliyepiga picha na mbowe wa jwtz... Alifukuzwa kazi.
Hao walimu wa CWT hawana msaada kwa walimu wenzao labda kufirisi yale mapato ya Kila mwezi..,...
Sasa Nani pimbi kati ya Mimi na weweAchaga upimbi basi.
Wewe ni pimbi kama mapimbi wengine.Sasa Nani pimbi kati ya Mimi na wewe
Pimbi anajifichaga basi we tizama uoichoandika apo.Wewe ni pimbi kama mapimbi wengine.
Goodluck we have ignore button. Nadhani umejipatia nafasi ya pili kwenye list.
Bado sana mtaona maajabu mkiruhusu waingie awamu ya pili.Nilipokuwa naangalia taarifa ya habari Leo nimeona walimu wanaojiita makada wa ccm waziwazi wakisema wako kwenye harakati za kusaidia chama chao.
Kilichogonga haraka mawazoni mwangu ni, inawezekanaje wafanyakazi wa Umma( civil servants) wafanye siasa za wazi( active politics) na bado wakawa hawajafanya kosa ktk utumishi wa umma?
Hivi wangeonekana wachama wa vyama vingine vya siasa wakifanya hivyo, wangebaki salama? Au ndo ile dhana ya absolute power corrupts absolutely??
Hakika naamini Sasa madaraka ni ulevi mbaya. Ebu wanaotuongoza waweke precedence yakutuongoza justly( kwa haki).