Kuwa addicted na umbo...

Mkuu hujamsoma vizuri. Nadhani tatizo ni uandishi. Mimi kwa nilivyomuelewa anauliza kama kuna mtu ana hali/tatizo kama lake.

Mkuu nashukuru kwa kunielewa nilieleza tatizo langu na kutaka kujua je ni mimi pekee au lipo kwa watu wengine na kama lipo waliliepukaje?lilikuwa ni hilo ila naona watu 8 anaingiza siasa.
 
 
Kujiendekeza tu!!
Kwa hiyo ukioa kabint kenye hilo umbo then kakaja kufumuka na kuwa bonge ndio ndoa itapumulia gesi???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…