Napita tu.
Lakini katika hili mimi mwenzenu nimekuwa nikipenda sana wanawake wembamba wa wastani na rangi ya chocolate ndio umekuwa ulevi wangu sijui wewe mwenzangu unayesoma hapa.
hata mimi napenda mwembamba na katako kakunyunyizia ila awe black real kabisa...hapo sing'oki hata kwa bomoabomoa!
Ninyi mnaochagua wapenzi kwa kuangalia maumbo ndio mnakuja kula za uso siku za mahusiano yenu!!
Sijui profession yako ila uko vizuri kwenye details mkuu, a lecturer/teacher would be ideal for you!!..NB:
Halafu acha mtindo wa kukopi habari za watu na kujivisha uhusika, ndio maana umesahau kufanya editing hadi kujikanganya.
Round off the number of men you've dated to the nearest ten!!! lolz...Si men2 hata women tunazo hizo maself napenda tall well built men an black ama Maji ya kunde ,sijawahi date a man asiye na sifa hizo
Wao! kumbe na nyie siku hizi mnadate?Si men2 hata women tunazo hizo maself napenda tall well built men an black ama Maji ya kunde ,sijawahi date a man asiye na sifa hizo
Round off the number of men you've dated to the nearest ten!!! lolz...
Mkuu hujamsoma vizuri. Nadhani tatizo ni uandishi. Mimi kwa nilivyomuelewa anauliza kama kuna mtu ana hali/tatizo kama lake.Hapa unadokeza kuhusu mwenzako....
Lakini ghafla bin vuu wajieleza tena wewe mwenyewe....
NB:
Halafu acha mtindo wa kukopi habari za watu na kujivisha uhusika, ndio maana umesahau kufanya editing hadi kujikanganya.
Mkuu hujamsoma vizuri. Nadhani tatizo ni uandishi. Mimi kwa nilivyomuelewa anauliza kama kuna mtu ana hali/tatizo kama lake.
9...all hit n run...
Si men2 hata women tunazo hizo maself napenda tall well built men an black ama Maji ya kunde ,sijawahi date a man asiye na sifa hizo
Round off the number of men you've dated to the nearest ten!!! lolz...
9...all hit n run...
Ha ha ha!!! Mkuu hapo sawa!!!!
Rudi darasani haraka sana.
Kama umeangalia vizuri kwenye post yangu ya mwanzo kuna maandishi niliyaweka kwa rangi nyekundu, kuna mahali kuna web language ambazo haziwezi kutokea mahali kama mtu hajaziandika au hajazikopi...