Kuwa addicted na umbo...

Mangi Mkubwa

Senior Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
106
Reaction score
29
Wana jamvini habarini za leo..

Kuna jambo ambalo linanisumbua sana,kama ambavyo wanaume wengi tumekuwa tukitofautiana katika kuchagua au kutafuta wapenzi,kila mwanaume amekuwa na chagua la moyo wake,kuna wengine wanapenda wanawake weusi,wanene,wembamba,warefu na hata wafupi,achilia mbali suala la tabia kama wasemavyo wengi kuwa mwanamke ni tabia

Lakini katika hili mimi mwenzenu nimekuwa nikipenda sana wanawake wembamba wa wastani na rangi ya chocolate ndio umekuwa ulevi wangu sijui wewe mwenzangu unayesoma hapa.

Lengo siyo kujadili wewe unapenda wa aina gani?; swali langu lilikuwa ni kwamba kuna mwenzangu ambaye amekuwa addicted kama mimi yaani nikitoka nje ya aina ya mwanamke ambaye ninampenda namaanisha mwembamba wa wastani hata tunapokuwa sita kwa sita nakuwa sipaform vizuri au naweza kushindwa kabisa.
Huu ni ugonjwa au nini wana MMU msaada please karibuni wadau.
 

Napita tu.
 
wanasema kuwa mazoea ni kilema hasa kwenye love emotional,ila wanaume tunatofautiana kuna ambao hawachagui likija bonge twende,mwembamba twende,ila kuna wengine hilo kwao hawawezi na anakuambia kabisa bhana mimi wanawake wa aina fulani kwani hapana.

na kwa hiyo muhimu kujitambua kama vibonge havipandi unaachana navyo.
 
swali langu lilikuwa ni kwamba kuna mwenzangu ambaye amekuwa addicted kama mimi

Hapa unadokeza kuhusu mwenzako....

yaani nikitoka nje ya aina ya mwanamke ambaye ninampenda namaanisha mwembamba wa wastani hata tunapokuwa sita kwa sita nakuwa sipaform vizuri au naweza kushindwa kabisa.

Lakini ghafla bin vuu wajieleza tena wewe mwenyewe....

NB:
Halafu acha mtindo wa kukopi habari za watu na kujivisha uhusika, ndio maana umesahau kufanya editing hadi kujikanganya.

 
Hata mm wembamba wa wastani ndiyo ugonjwa wangu.
 
Hapa unadokeza kuhusu mwenzako....



Lakini ghafla bin vuu wajieleza tena wewe mwenyewe....

NB:
Halafu acha mtindo wa kukopi habari za watu na kujivisha uhusika, ndio maana umesahau kufanya editing hadi kujikanganya.

Mkuu comments zako nazikubali sana yan katika kila thread unayochangia kuna vitu vingi najifunza kutoka kwako..

Big up watu8
 

Mtu ambaye anachukua yeyote yule ana matatizo makubwa.

Mwanaume wa kweli huchagua mtu stahiki kwa vigezo vyake. Sio kila mtu yeye twende tu.
 
MWEUS, MWEMBAMBA NA MREFU, BUT KAFIGA KA KUELEWEKA.. HIYO NDIO STANDARD YANGU. BILA HIYO SIWEZI KWENDA BELLOW MY STANDARD.
OOOOOH, NAMKUMBUKA MY 2nd GIRL FRIEND....
 
Ninyi mnaochagua wapenzi kwa kuangalia maumbo ndio mnakuja kula za uso siku za mahusiano yenu!!

haswaaa! maana kama umempenda akiwa mwembamba siku akinenepa ni ugomvi,umempenda mnene siku akikonda no mapenzi,duh kazi kwelikweli!!
 
hata mimi napenda mwembamba na katako kakunyunyizia ila awe black real kabisa...hapo sing'oki hata kwa bomoabomoa!
mi mkuu hapo kwenye red halafu awe choculate or mweupe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…