Kuvunjwa kwa mkataba.

Inamonga

JF-Expert Member
Jun 25, 2016
779
473
Habari wakuu?
Naomba msaada wa kisheria kama ifuatavyo..
Nimeajiriwa kwenye kampuni binafsi na nina mkataba wa continous( wakudumu)..
Sasa mwajiri anataka tuingie mkataba mpya wa mwaka mmoja mmoja na ile ya mwanzo tuachane nayo..
Je? Kuna benefits zozote anazo takiwa kunipa kabla ya kusign mkataba mpya..?
Naomba kuwakilisha..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuuvunja huo mkataba wa mwanzo ni sawa na kukuachisha kazi alafu mnaingia mkataba mpya. Sasa angalia katika huo mkataba wako wa kudumu ulisema nini kuhusu kukuachisha kazi? Ukiyapata hayo ndio anatakiwa akufanyie kisha muingie mkataba mpya.
 
Kwenye mkataba alisema akitaka kuvunja atanipa mshahara wa mwezi mmoja..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom