Shkamoon wakuu
Kuna kitu najiuliza labda kuna watu wana uzoefu humu
Mie nlishawahi kujaribu kuwaza jinsi ya kumvulia pichu mwanaume ambaye hayupo moyoni mwangu
Hii siyo mara moja kiukweli ni mtihani sana kujilazimisha kuect kumpenda mtu fr somthing labd ingekuwa naweza hicho kitu ningekuwa hata mh.umukagame naw ningekuwa levo zngne kabsa lakn nshashindwa
Wenzangu em nambien kama kuna yyte alishawahi kujilazimisha kumpenda mtu na akafanikiwa!!mie moyo ukishasema no huwa inakuwa no kwel cbadilishwi
kama umpendi uwezi mvulia pichu hata kama ana kitu nitamzungusha mpaka anachukia hiyo kitu na nikienda kwake nakuwa period that only
Hapana siyo mkurya wangu nawaza tu apa
Miss Chaga usijizoee kufanya ivo,
Kuna Wanaume wengine Akili zetu tunazijua wenyewe,
Ukisha kula vyangu na Ukavuka Kizingiti cha Mlango tu kuingia chumbani
nitapiga hata 0717.
mmekutana waongo watupu hapa.mnaonyesha ni vicheche sana.acheni kuzuga.kila siku mnapigwa miti na mnaowapenda na msiowapenda.wahumu ni watepe sana.
kama umpendi uwezi mvulia pichu hata kama ana kitu nitamzungusha mpaka anachukia hiyo kitu na nikienda kwake nakuwa period that only
Hahahhahahha umenikumbusha mbali sana uko period ndo waonana naye ukiwa mzima uko bize hatari, me nisipokupenda hata kugusana tu na wewe siwezi.
dada acha masihara weye haupo serious hata kidogo
kama umpendi uwezi mvulia pichu hata kama ana kitu nitamzungusha mpaka anachukia hiyo kitu na nikienda kwake nakuwa period that only
wewe kwa hiyo we ni kichaaaaaaa? jibu swali umkula wangapi hawakupendi?
Shkamoon wakuu
mie moyo ukishasema no huwa inakuwa no kwel cbadilishwi
kama umpendi uwezi mvulia pichu hata kama ana kitu nitamzungusha mpaka anachukia hiyo kitu na nikienda kwake nakuwa period that only
nitamuuliza do u love me? if yes can u please be good to me i promise i will give to u after finish this.... namwambia hny you know how much i love u mbona atatulia tuAkiomba samvu sasa inakuwaje utajiondoaje. Wengine ukienda hivyo wanajua mchezo wako ni enzi zile za sodoma utafanyaje sasa
Nitasema kweli daima