Kuvaa pete ya ndoa kinga dhidi ya kuchepuka

Kuvaa pete ya ndoa kinga dhidi ya kuchepuka

Wanawake wanaogopa wanaume wanaovaa pete za ndoa muda wote. Ingawa kuna uwezekano wanaume kutowaogopa kwa kiwango hicho wanawake waliovaa pete. Wakati mwingine wanaume wanachepuka kwa kuwa exposed kwenye mazingira hatarishi. Kuvaa pete kunapunguza mazingira hatarishi maana wanawake wanaziogopa. Vaa pete yako kupunguza ushawishi wa kuchepuka, usipo ivaa your easy prey
mhhhh hapa napita sina neno.
 
Wanavuliwa chupi wakiwa na pete zao mahotelini na kwenye magari waliyonunuliwa na waume zao,wengine wanadai wakiingia mahotelini wanavua pete na kuzivaa wakimaliza,kwenye magari huwa hawavui.TUNAWASIKIA.
Uko saii mkuu mimwenyew nsha wamega kbaooo na sna mpngo wakuoa
 
Weeee, nani kasema. Wakati siku hizi pete za ndoa ndo zinakufanya upate mchepuko kirahisi. Maana utaonekana unajua kuhudumia, na hutomfuja sana (show itakuwa za kisela tuu sababu una mke).

Kiufupi anaona mtapelekana kimjinimjini, na wadada wengi wa mjini siku hizi wanapenda waume za watu.
 
Wengine wanavutiwa na hizo pete! Hilo sio suluhisho. Wanawake wengine wanataka hao waliooa
 
Back
Top Bottom