Wanawake wanaogopa wanaume wanaovaa pete za ndoa muda wote. Ingawa kuna uwezekano wanaume kutowaogopa kwa kiwango hicho wanawake waliovaa pete. Wakati mwingine wanaume wanachepuka kwa kuwa exposed kwenye mazingira hatarishi. Kuvaa pete kunapunguza mazingira hatarishi maana wanawake wanaziogopa. Vaa pete yako kupunguza ushawishi wa kuchepuka, usipo ivaa your easy prey