Baba Emmanuel
Member
- Jul 18, 2012
- 10
- 1
Kuvaa nguo za chama wakati mnafanya jambo la kitaifa, kama vile uzinduzi wa mradi fulani kwa ajili ya watanzania, hili ni jambo linaloashiria umoja kweli? Au ni kuashiria utengano? Mwalimu Nyerere alikuwa akifanya hivyo wakati wa shughuri za kitaifa? Na nchi za wenzetu je wanafanya hivyo wakati wa shughuri za kitaifa?