Kuvaa nguo za chama kwenye hafla na matukio au sikukuu za Kitaifa ni sawa?

Baba Emmanuel

Member
Jul 18, 2012
10
0
Kuvaa nguo za chama wakati mnafanya jambo la kitaifa, kama vile uzinduzi wa mradi fulani kwa ajili ya watanzania, hili ni jambo linaloashiria umoja kweli? Au ni kuashiria utengano? Mwalimu Nyerere alikuwa akifanya hivyo wakati wa shughuri za kitaifa? Na nchi za wenzetu je wanafanya hivyo wakati wa shughuri za kitaifa?
 

Mrimi

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
1,690
2,000
Hili jambo ni sawa kabisa hasa kwa watu wenye hitilafu katika akili zao.
 

Baba V

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
19,489
2,000
Wengi wao hawajitambui na hawajui tofauti ya shughuli za kichama na za kitaifa, pili wengine ndo their only presentable clothes
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom