Bigbootylover
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 2,847
- 1,826
Hivi ni utaratibu gani hutumika katika kuuziana kazi ya sanaa iwe nje au hapa nyumbani, mfaano mtu ana nyimbo au story ya movie taratibu gani hutumika kununua/kuuza kwa mwingine, na kama mtu asipoipenda, au kuipenda na akataka kukudhulumu, hatua gani hufuatwa.